Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

Afadhali ameanza kuwa na amani, na yote yaliyomfika ameshayakubali sasa anasonga mbele, wacha akatulie huko nje for one year ajipange vizuri na acheki afya yake.
 
Huyu si mbongo, anaongea utadhani kazaliwa nje

Mother tongue ni Kiswahili ila utadhani ni English
Huyu ni mwanahabari wa luga ya kiswahili mbobezi mtanzania na aliekuwa akisikika duniani kote, kwa hivyo katika mahojiano yake katumia kiswahili sanifu wanaoweza kukisikia wasikilizaji wa DRC CONGO, BURUNDI, RWANDA, MALAWI, KENYA, COMORO, somalia nk.
 
Back
Top Bottom