Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

Nitamchukia daima mwendazake kwa udhalimu aliowafanyia mamia ya watu wasio na hatia
Endelea tu kumchukia sisi tutampenda daima kwa mema mengi aliyotufanyia sisi wanyonge! Hususan kwa kutuondoshea hayo mamia ya wachumia tumbo ili neema itufikie!
 
Katika watu niliwahurumia sana sana huyu mwamba nilimuojea huruama sana aisee. Yani yule mama yake alivokua anaongea kwa huruma, daah inaumiza sana mpaka akafariki na bado wale maharamia hawakumruhusu akamzike mama yake.

Yule mzee roho yake ilikua ngumu kwelikweli aisee.
Mwendazake alikuwa shetani maruuni
 
Kwa yale Makalio yake yalivyokuwa yamelegea 'Ndembe Ndembe' ndani ya ile Khanga aliyotupwa nayo pale Gymkhana Court wala hatuhitaji tena kusikia Simulizi yake ya nini kilimkuta huko kwani Watoto wa Mjini na tuliokulia Pwani na Wabobezi wa kwa Mpalange tumeshajua alichokumbana nacho huko.
Unamtukana mfadhili wetu?
 
Halafu warundi wamejificha huko temeke,

Wakizaliana wanajitahidi kuhonga Ili wapate birth certificate,

Tusipokuwa makini in 20 years time sleeper agents watakua kibao kwenye system.
Jaribu hata kidogo usome historia ya makabila ,watu na mataifa yote duniani. Itakusaidia kuwa great thinker
 
Jaribu hata kidogo usome historia ya makabila ,watu na mataifa yote duniani. Itakusaidia kuwa great thinker
Hiyo Haina msaada kwa sasa.

Issue hapa ni kwa hao wanaojipenyeza illegally Kwa kununua birth certificates.

Kununua birth certificate illegally haihusiani na historia ya makabila.
 
Hiyo Haina msaada kwa sasa.

Issue hapa ni kwa hao wanaojipenyeza illegally Kwa kununua birth certificates.

Kununua birth certificate illegally haihusiani na historia ya makabila.
Unaweza kutoa ushahidi kuwa wanapewa hivyo vyeti kwa magendo?, je Taasisi za kutoa vyeti vya kuzaliwa hawajui majukumu yao?. Tusitumie mitandao vibaya
 
Unaweza kutoa ushahidi kuwa wanapewa hivyo vyeti kwa magendo?, je Taasisi za kutoa vyeti vya kuzaliwa hawajui majukumu yao?. Tusitumie mitandao vibaya
Uko wapi nikuletee Sasa hivi, nitajie location.

Iko hivi warundi wapo hapa Dar, wamejichimbia temeke na wanahonga ili kupata vyeti vya kuzaliwa.

Chukua hiyo.
 
Uko wapi nikuletee Sasa hivi, nitajie location.

Iko hivi warundi wapo hapa Dar, wamejichimbia temeke na wanahonga ili kupata vyeti vya kuzaliwa.

Chukua hiyo.
Kwahiyo unasema wanatoa Russia kupata vyeti vya kuzaliwa. Je una uhakika kweli wanahonga na wanapewa vyeti halali vya kuzaliwa? Tusitumie mitandao vibaya
 
Kwahiyo unasema wanatoa Russia kupata vyeti vya kuzaliwa. Je una uhakika kweli wanahonga na wanapewa vyeti halali vya kuzaliwa? Tusitumie mitandao vibaya
Fanya unavyotaka mkuu, nakusubiri. Usinitishe.
 
Huyu si mbongo, anaongea utadhani kazaliwa nje

Mother tongue ni Kiswahili ila utadhani ni English

Shida ni kuwa mtu akiongea kiswahili fasaha mnaona ni lugha ngeni. Wote wawili wanaongea kiswahili kama kinavyotakiwa kuongewa. Sio hiki cha kwenu kisichojua tofauti ya 'L' na 'R'.

Amandla...
 
Sasa wameenda kumhudumia baada ya kumtumia kwà miaka yote na kushindwa kufanikiwa malengo yao.

Nazani watamleta mleta kivingine ili mradi tu wanaharibu nchi yetu.

Kuweni makini na kabendela..ni bendelea kweli kweli.
 
Back
Top Bottom