Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

Unajua uraia wa Tanzania unavyopatikana?
Kama sio mbongo kwa nini jiwe hakumrudisha kwao?
Huyu si mbongo, anaongea utadhani kazaliwa nje

Mother tongue ni Kiswahili ila utadhani ni English
 
Mpumbavu wewe na shame on you,21st century middle class wa kitanzania anaongelea upuuzi huu,je wewe ni raia?kabla ya kujiona unaishi in a shithole country ambayo haina IDs kwa raia wewe wewe unaona sawa tu.
Una umaana gani “haina IDs kwa raia wake”? Kwani wewe unaishi mashimo ya pande za wapi?!
 
Wewe

Kabendera ni Murundi,hata kama nchi haijatoa IDs ilo alisababishi kuwa kila aliyenchini ni Mtanzania,huyo mwenyewe kabendera kilichomsaidi ni uraia wa Mama yake,la sivyo angekuwa Burundi kwao na babayake
Hivi alikuwa analipwa dola ngapi kwa kuiandika vibaya TZ na hasa Rais Magufuli??
 
Hivi alikuwa dola ngapi kwa kuiandika vibaya TZ na hasa Rais Magufuli??
Roho ya usariti tu hawa akina Kabendera ndio wauza information za nchi kwa maadui wa taifa, kizazi cha akina Kabendera akifai kabisa wao ni pesa mbele, pasipo kuangalia athali zitakazo tokea.Kagame watu kama hawa ndio anawaweza,angekuwa kwa Kagame, sasahivi ingelikuwa historia
 
maisha ni mafupi sana, ila maisha baada ya kifo ni ya milele, tutende mema ili baada ya maisha haya tukaishi maisha ya amani na raha. Tuache;
Viburi, ukatili, unyanyasaji, kuua na kudhulumu kwani mshahara wake ni jehenam ya milele.
Pia Tuache usaliti hasa wa nchi yako. Tuache kutumika kwa rupiya kidogo - kudhalilisha nchi yetu.
 
Roho ya usariti tu hawa akina Kabendera ndio wauza information za nchi kwa maadui wa taifa, kizazi cha akina Kabendera akifai kabisa wao ni pesa mbele, pasipo kuangalia athali zitakazo tokea.Kagame watu kama hawa ndio anawaweza,angekuwa kwa Kagame, sasahivi ingelikuwa historia
Na hata uraia wake naona una Shaka...
 
Roho ya usariti tu hawa akina Kabendera ndio wauza information za nchi kwa maadui wa taifa, kizazi cha akina Kabendera akifai kabisa wao ni pesa mbele, pasipo kuangalia athali zitakazo tokea.Kagame watu kama hawa ndio anawaweza,angekuwa kwa Kagame, sasahivi ingelikuwa historia
Kesho na wewe utakufa na utamfuata Jiwe shenzi
 
Back
Top Bottom