Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

maisha ni mafupi sana, ila maisha baada ya kifo ni ya milele, tutende mema ili baada ya maisha haya tukaishi maisha ya amani na raha. Tuache;
Viburi, ukatili, unyanyasaji, kuua na kudhulumu kwani mshahara wake ni jehenam ya milele.
 
Huyu ni mwanahabari wa luga ya kiswahili mbobezi mtanzania na aliekuwa akisikika duniani kote, kwa hivyo katika mahojiano yake katumia kiswahili sanifu wanaoweza kukisikia wasikilizaji wa DRC CONGO, BURUNDI, RWANDA, MALAWI, KENYA, COMORO, somalia nk.
Kabendera ni Murundi, Baba yake, alikuwa anaitwa Shinane Kabendera,alijiua kwa kujidumbukiza ziwani Victoria,Baada ya kupishana na akina Kagasheki kwenye Mambo ya uchaguzi
 
Aisee Ngosha alikuwa na roho mbayaa Sana, hivi kwanini MO dewji nae haelezei kilichomkutaga kipindi kile
Kwa yale Makalio yake yalivyokuwa yamelegea 'Ndembe Ndembe' ndani ya ile Khanga aliyotupwa nayo pale Gymkhana Court wala hatuhitaji tena kusikia Simulizi yake ya nini kilimkuta huko kwani Watoto wa Mjini na tuliokulia Pwani na Wabobezi wa kwa Mpalange tumeshajua alichokumbana nacho huko.
 
Waliokosa uzalendo walimchukia sana Magufuli.
 
Katika watu niliwahurumia sana sana huyu mwamba nilimuojea huruama sana aisee. Yani yule mama yake alivokua anaongea kwa huruma, daah inaumiza sana mpaka akafariki na bado wale maharamia hawakumruhusu akamzike mama yake.

Yule mzee roho yake ilikua ngumu kwelikweli aisee.
 
Kabendera sio mshomire,ni Murundi, Baba yake alikuwa anaitwa Shinane Kabendera, alijiua kwa kujidumbukiza ziwani Victoria Baada ya kupishana na akina Kagasheki kwenye Mambo ya uchaguzi,walivyomwambia lazima arudishwe kwao,uliza watu wa Bukoba watakueleza ukweli
Halafu warundi wamejificha huko temeke,

Wakizaliana wanajitahidi kuhonga Ili wapate birth certificate,

Tusipokuwa makini in 20 years time sleeper agents watakua kibao kwenye system.
 
Katika watu niliwahurumia sana sana huyu mwamba nilimuojea huruama sana aisee. Yani yule mama yake alivokua anaongea kwa huruma, daah inaumiza sana mpaka akafariki na bado wale maharamia hawakumruhusu akamzike mama yake.

Yule mzee roho yake ilikua ngumu kwelikweli aisee.
Jiwe alikuwa katili sana..
 
Kabendera ni Murundi, Baba yake, alikuwa anaitwa Shinane Kabendera,alijiua kwa kujidumbukiza ziwani Victoria,Baada ya kupishana na akina Kagasheki kwenye Mambo ya uchaguzi
Mpumbavu wewe na shame on you,21st century middle class wa kitanzania anaongelea upuuzi huu,je wewe ni raia?kabla ya kujiona unaishi in a shithole country ambayo haina IDs kwa raia wewe wewe unaona sawa tu.
 
Back
Top Bottom