Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
pole sana Erick, ukirudi twende tukalichape fimbo kaburi la kichaa kule chattle.
pumzika kwa amani mama Erick.
pumzika kwa amani mama Erick.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naona huna taarifa kuhusu akina Kabendera....Muhaya Nshomire
na nyie mpo hapo kweny dawati, mnalalamikia hili la warundi kuchukua bc badala ya kuchukua hatua?Uko wapi nikuletee Sasa hivi, nitajie location.
Iko hivi warundi wapo hapa Dar, wamejichimbia temeke na wanahonga ili kupata vyeti vya kuzaliwa.
Chukua hiyo.
Ukiishi Nchi ya watu lazima uiishi kwa adabu.Hakushtakiwa kwa kesi yakuwa yeye ni mrundi, ila kashtakiwa kama mtanzania mhujumu uchumi.
Wewe ndio uwajui akina kabendera,au kwasababu alioa mke wa Muleba,wakawa wanajiita wazaliwa wa Muleba,Mkuu naona huna taarifa kuhusu akina Kabendera....
Sio Kabendera yule aliyejiua kwa kujirusha bandarini Bukoba, wapo wengi....
Kabendera ni Murundi,hata kama nchi haijatoa IDs ilo alisababishi kuwa kila aliyenchini ni Mtanzania,huyo mwenyewe kabendera kilichomsaidi ni uraia wa Mama yake,la sivyo angekuwa Burundi kwao na babayakeMpumbavu wewe na shame on you,21st century middle class wa kitanzania anaongelea upuuzi huu,je wewe ni raia?kabla ya kujiona unaishi in a shithole country ambayo haina IDs kwa raia wewe wewe unaona sawa tu.
Kagasheki ana nuka damu[emoji848][emoji848]Kabendera ni Murundi, Baba yake, alikuwa anaitwa Shinane Kabendera,alijiua kwa kujidumbukiza ziwani Victoria,Baada ya kupishana na akina Kagasheki kwenye Mambo ya uchaguzi
KUTUMIKA VIBAYA NDIO NINI? Hizo zilikuwa juhudi za kuziba midoma ya watu wasiongee ili aongee yeye tu,kwenye TV yeye,Radio yeye,Magazeti yeye,Kwaye yeye,Wanamziki yeye ili mladi kila kitu yeye. Mh jaribu kunena kinyume chake uone utawauliza kina KABENDERA,LISU,ROMA walio hai,na waliopotezwa je tutajuaje maswahibu yao? Hivi angeacha watu waseme maneneo yangemzuia asifanye maendeleo?Mbona Kikwete,Mwinyi,Mkapa waliacha watu waongee iliwadhuru nini sasa? wengine bado wapo na heshima zao je? zipo. Mh eti aache kutumiwa hizi faru john inabidi ziondolewe kaunta jaza tumbo mtaonekana mazoba milele.Na aache tabia ya kutumika vibaya, kwa bahati mbaya sana, sidhani kama kajifunza. Ushahidi ni hayo maongezi yake hapo BBC.
Na Kabendera ni Murundi anayekataa, Baba yake Kabendera ni mzaliwa wa Wapi ktk mkoa wa Kagera?huyu kabendera anatembelea uraia wa Mama yake tu,alafu anakuwa snack wa Nchi.Sasa amerudi kwa mabwana wake waliokuwa wakimtumiaUko wapi nikuletee Sasa hivi, nitajie location.
Iko hivi warundi wapo hapa Dar, wamejichimbia temeke na wanahonga ili kupata vyeti vya kuzaliwa.
Chukua hiyo.
Kabendera ndio ananuka damu, kwanini ajiue wakati walimtishia kumrudisha kwao Burundi? ukiishi Nchi ya watu ishi kwa taratibu na SheriaKagasheki ana nuka damu[emoji848][emoji848]
Wewe ndio uliza vizuri,me nimekueleza ukweli jalibu kuutafuta au nikutajie na ndg zake?Mkuu naona huna taarifa kuhusu akina Kabendera....
Sio Kabendera yule aliyejiua kwa kujirusha bandarini Bukoba, wapo wengi....
Nimejitahidi kukusoma ili nikuelewe lakini bado sikuelewi,pls nirekebishe kama nimekuelewa sivyo,Mr.Kabendera yupo nchini kutokana na uraia wa mama yake (ni mtanzania?)na sheria yetu inasemaje unapozaliwa na mmoja wa wazazi wako ni mtanzania je unakua raia wa wapi?au hii sheria ni kwa kina mama sio baba?,wakati Crocodiles wanauhuru wa whole Europe!Lizards bado wapo kwenye ukabila!sasa ninamwelewa President Trump,lizards will never be crocodiles!!!Wewe
Kabendera ni Murundi,hata kama nchi haijatoa IDs ilo alisababishi kuwa kila aliyenchini ni Mtanzania,huyo mwenyewe kabendera kilichomsaidi ni uraia wa Mama yake,la sivyo angekuwa Burundi kwao na babayake
Kwani Mtanzania akizaliwa au kukulia nje anakosa sifa za kuwa mbongo...!!?Huyu si mbongo, anaongea utadhani kazaliwa nje
Mother tongue ni Kiswahili ila utadhani ni English
Kwani Mtanzania akizaliwa au kukulia nje anakosa sifa za kuwa mbongo...!!?
Hiyo Siyo kweli. Ukizaliwa nje, ni mtanzania provided that mzazi wako moja ni Mtanzania. Ila tofauti ni kuwa ukifikisha miaka 18 ni lazima ule kiapo cha kuchukua uraia wa Tanzania.Akizaliwa nje sio Mtanzania
Akikulia nje ni mtanzania
Namchukia kwa matendo yake alipokuwa hai. Mimi ni Mkristo, msaliti wetu mkuu ni Yuda, naanzaje kumpenda?Kumchukia mtu aliekufa ni aina nyingine ya matatizo ya akili.
Mtu ameshakufa unanchukia ili iweje?
Hahah hahaha imefanya dhalimu afeSasa michuki yako si utakufanya ufe,
Ndio na wewe unataka zikuueHahah hahaha imefanya dhalimu afe