MwanaHALISI kulikoni?

MwanaHALISI kulikoni?

Keil

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2007
Posts
2,214
Reaction score
804
Tangu Bwana Mongi atangaze kwamba amelipwa na Bwana Saed Kubenea gharama za ku-host gazeti la MwanaHALISI, hakuna update iliyofanyika mpaka hivi sasa.

Nina ombi kwa Bwana Saed wa Kubenea kwamba tulio nje ya Tanzania ni wasomaji wazuri sana wa MwanaHALISI na usipo-update gazeti tunaokosa uhondo ni sisi ambao hatuna uwezo wa kupata hard copies za hilo gazeti. Matokeo yake tunasubiri huruma ya wana JF wenzetu ambao aidha wanaweza ku-scan page moja ama mbili na kuziweka hapa ama kutuwekea headline tu bila habari yote. Hili linaniumiza mimi (may be na wengine ambao husoma gazeti hilo mtandaoni).

Nina uhakika hata Mongi alipoleta tangazo lake hapa alikuwa amelenga wana JF ambao anajua kwamba ni wasomaji wazuri sana.
 
Kwa kweli hii hali ya kutuonjesha na kisha kutunyima uhondo wa kusoma kwa sisi tulio nje ya tz mimi pia inanisikitisha sana,kubenea lazima afahamu kuwa maadam aliamua kuliweka gazeti lake mtandaoni basi hana budi kujua kuwa kuna wadau wanaofaidika na hiyo huduma na kama amekwama inabidi atueleze ili tujue amekwama wapi,sio kukaa kimya tu kutufahamisha chochote
 
Badala ya kulalamika muulizeni kama anahitaji msaada wenu wa aina yoyote ili kuweza kuwaletea gazeti mlipendalo.
 
I can host his website free of charge, can help him updating news for free either... Just tell him to write me
 
Hi JF hommies/members;

In my regular visits to halihalisi.co.tz i find that the news online were last posted on 21st May 2008 against the other online newspapers which faces regular updates on news reffering to daily or weekly publications.

Am just wondering!
 
Ni muda sasa hawaja-update wavuti ya gazeti lao! Kulikoni kutunyima uhondo?
 
I can host his website free of charge, can help him updating news for free either... Just tell him to write me

U're always helpful-U deserve congratulations... from every positive minded person..

I hope some of the JF members/fans gonna deliver your msg to Hali Halisi Publishers/Management

Cheers!
 
I can host his website free of charge, can help him updating news for free either... Just tell him to write me

Hizi ni kazi za wito sio mpaka uandikiwe, why cant u write or call him?

Secondly, misaada kama hii haipendezi kuitangaza hadharani unless unataka ujiko....
 
Sio msaada mkuu, ni wajibu wangu lakini frankly speaking namba ya Kubenea niliyokuwa nayo huwa haipokelewi! Huwa haijibu hata sms, barua pepe huwa hazijibiwi.

Kama una namba anayoweza kusoma sms au kupokea then gimme; kumpigia si issue.

BTW: Hii si kwa Kubenea na MwanaHalisi tu, hata wewe mkuu kama una web unahitaji nii-host bure au unahitaji kutengenezewa tovuti basi wasiliana nami tu.

Sifa nyingine mhhh... Za kubeba misalaba? Hahahaha!
 
Moja na matatizo ya waliopo nyumbani wanaposoma kwneye mtandao huwa hawanunui gazeti na hilo naona ndio baadhi ya wenye kampuni huwa wanalalamikia na ndio ukaona baadhi yao huwa wanachelewa kuweka kwneye neti.

Mimi huwa ninapata copy za makala zote za MWANAHALISI usiku wa jumanne lakini sijaruhusiwa kuzisambaza sehemu yoyote ngoja niwasiliane nao wenyewe kama watakubali basi nitaweza kukuwekeeni humu kwenye mtandao iwapo nitapata idhini ya wahusika.

kila la kheri wana JF
 
Sio msaada mkuu, ni wajibu wangu lakini frankly speaking namba ya Kubenea niliyokuwa nayo huwa haipokelewi! Huwa haijibu hata sms, barua pepe huwa hazijibiwi.

Kama una namba anayoweza kusoma sms au kupokea then gimme; kumpigia si issue.

BTW: Hii si kwa Kubenea na MwanaHalisi tu, hata wewe mkuu kama una web unahitaji nii-host bure au unahitaji kutengenezewa tovuti basi wasiliana nami tu.
Sifa nyingine mhhh... Za kubeba misalaba? Hahahaha!

Unazidi kuiharibu! Why dont u PM me? au PM hazijibiwi pia? What abt email?

Maujiko mengine jamani... magumashi matupu!
 
Hehehe,

Bhebhe Ngosha, kenehe mhalali? Ngunoki ukunid'ebagha???

Ningha ubhizagha hon'fu ant'andao!?

Wengine wanaweza kuwa wanahitaji huduma kama hiyo wanatakiwa kujua. Nimeamua kuandika kinyumbani kwa hapo ili mimi na wewe tuelewane kwanza...
 
Hahahah wabezya sana nsumba Ntare...liinvisible
 
I can host his website free of charge, can help him updating news for free either... Just tell him to write me

Mkuu Invisible, ahasante kwa ujumbe wako mzito sana na wenye neema, ndio kwanza nimeupata na by kesho yaani usiku huu wa leo, nitampasia Mkulu Saeed, na nintakutafuta pia.

Na pia nina habari mpya njema sana kwa JF, weekend hii nilikuwa na mkulu mmoja ambaye yuko njiani kuanzisha stesheni mpya ya TV na Radio, nikamuomba sana kuwa apitie hapa JF na kuona kama anaweza kutusaidia na anything kupitia kwenye stesheni zake mpya, akaniahidi kuwa atajaribu, na pia nifanye njia za kumkutanisha na wakulu wa hapa, kwa hiyo mkuu kaa tayari.

Ubarikiwe Mkuu!
 
Ujumbe umefika. Ila Ile story ya RA ni kiboko, kamtumia sms Saed na kumwambia, "Ahsante kaka" imemuumiza sana maana hao kina Mwanyika kama wakisema hawamjui mwenye Kagoda basi tena
 
Saaafi sana, mbarikiwe wakuu!
 
Gazeti lenyewe ni kama limepoapoa kidogo hasa baada ya ule "uvamizi" wa kipolisi. Nadhani vyanzo vyake vya habari vitakuwa vimeathirika kidogo.
 
Mkuu Invisible, ahasante kwa ujumbe wako mzito sana na wenye neema, ndio kwanza nimeupata na by kesho yaani usiku huu wa leo, nitampasia Mkulu Saeed, na nintakutafuta pia.

Na pia nina habari mpya njema sana kwa JF, weekend hii nilikuwa na mkulu mmoja ambaye yuko njiani kuanzisha stesheni mpya ya TV na Radio, nikamuomba sana kuwa apitie hapa JF na kuona kama anaweza kutusaidia na anything kupitia kwenye stesheni zake mpya, akaniahidi kuwa atajaribu, na pia nifanye njia za kumkutanisha na wakulu wa hapa, kwa hiyo mkuu kaa tayari.

Ubarikiwe Mkuu!

Mkuu Field Marshall ES
Any update on the above?

B'se still website ya jamaa iko dormant...Last home page topic still ni ile ile ya Dk. Slaa: Nimeshinda mafisadi which was posted since 21st May'08
 
Ngoja niongee na Kubenea nijue nini tatizo. Nitakufahamisheni anasemaje.

Mac
 
Hivi saeed kubenea na ujanja wote kashindwa kuliweka gazeti kwenye mtandao? Angepata support kutoka kwa watanzania wengi walio nje ya nchi.Hata baada ya mkuu invisible kuwa tayari kumsaidia bila gharama yoyote ni zaidi ya mwezi haja respond bado?
 
Back
Top Bottom