Tangu Bwana Mongi atangaze kwamba amelipwa na Bwana Saed Kubenea gharama za ku-host gazeti la MwanaHALISI, hakuna update iliyofanyika mpaka hivi sasa.
Nina ombi kwa Bwana Saed wa Kubenea kwamba tulio nje ya Tanzania ni wasomaji wazuri sana wa MwanaHALISI na usipo-update gazeti tunaokosa uhondo ni sisi ambao hatuna uwezo wa kupata hard copies za hilo gazeti. Matokeo yake tunasubiri huruma ya wana JF wenzetu ambao aidha wanaweza ku-scan page moja ama mbili na kuziweka hapa ama kutuwekea headline tu bila habari yote. Hili linaniumiza mimi (may be na wengine ambao husoma gazeti hilo mtandaoni).
Nina uhakika hata Mongi alipoleta tangazo lake hapa alikuwa amelenga wana JF ambao anajua kwamba ni wasomaji wazuri sana.