ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
KNOCK.....KNOCK ........ANYBODY HOME?Kitaendelea kutumika kama ushahidi siku zote ,na kama mna mabavu mmfukuze Saed Kubenea chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KNOCK.....KNOCK ........ANYBODY HOME?Kitaendelea kutumika kama ushahidi siku zote ,na kama mna mabavu mmfukuze Saed Kubenea chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea kukomaa na Chadema wakati Zito na Pompeo wanazidi kuwashika pabaya.Imekuwa ni kawaida ya chadema kuungana na mabeberu na kuanza kuombea mabaya nchi yetu. Pamoja na maombezi yao hayo bado laana ipo upande wa chadema tangu kutoka rais Magufuli aingie madarakani miaka minne iliyopita.
Kila wakiombea uchumi ushuke ndiyo kwanza unapanda.
Kila wakiombea tushitakiwe MIGA ndiyo kwanza Barrick wanakuja kusaini mikataba mipya yenye manufaa kwa watanzania wote.
Kila wakisingizia serikali ya Magufuli ina fanya mauaji ndiyo kwanza Saed Kubenea anawaumbua kwenye magazeti yake kwamba Ben Saanane anaonekana kwenye vijiwe vya kahawa mitaa ya UFIPA.View attachment 1344165View attachment 1344166
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda upo?We endelea kukomaa na Chadema wakati Zito na Pompeo wanazidi kuwashika pabaya.
Uwanja wa wanaowapinga umeongezeka
Mpaka leo angekuwa kasharudiIshu ya Ben Saanane inaweza kuwa ni Self imposed exile baada ya kuona hatari fulani ya kukamatwa kwa uchochezi mitandaoni