zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
Tuombe Mungu asije akawa amepelekwa Msitu wa Mabwepande.
Siku hizi wanawavizia magetini, sio mabwepande tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuombe Mungu asije akawa amepelekwa Msitu wa Mabwepande.
Hapo si ule mgomo wa kupigania mshahara mnono na posho kubwa huku wananchi wanakufa!!!Nimemkumbuka huyu Jamaa
Alishakamatwa mbona mnamo 2008? Ila sijaona kosa lake, kwa sababu JF ni 'User-generated' content.Akina Max wa JF wawe makini, kwani yawezekana kuwa wako kwenye pipeline!!
Wingi wa vijana kwenye mikutano ya CDM,shamra shamra,manjonjo,michango yao kwenye M4Cna furaha ya wazi kwenye nyuso zao wakati wa mikutano hiyo ni kielelezo tosha kuwa CDM ni tegemeo lao kwenye ajira ,elimu,afya, ulinzi wa rasilimali za Taifan.k. Ewe Mungu wa Israel endelea kulinda taifa lako la Tanzania,Mapambano haya hayataisha hata wakiwaua baadhi ya wanaharakati wengine watayaendeleza? Mimi nimeshakutana na vitisho mara nyingi tu kupitia simu (bahati mbaya huwezi kujua vitisho uchwara na vya ukweli). Hata hivyo, mimi nimeamua kusema ukweli kwa gharama yo yote. Mtu atakayenitanguliza mbinguni ajue na yeye si mtu wa kudumu humu duniani - sote tunapita. Hatuwezi kuogopa kusema ukweli kwa sababu tunaogopa koleo ya kutolea meno au kuna kifo.
Akina Nyerere, Mandela na Nkurumah na wengineo wangekuwa waoga, Afrika isingekuwa hapa ilipo leo.
Poleni mmechelewa sana hadi hali ya kutotawalika ni sawa simenti imeshakorogwa hairudi tena kuwa simenti.Kafichwa makusudi na Lwakatare ili nchi isitawalike.
Watatajana mpaka kieleweke
Mtasikia wachawi wakisema CHADEMA wanahusika
Jamani tuache utani,
Wasije kumuua kisha kichwa chake kikapelekwa nyumbani kwa Rwakatale!!!
hakuna kitu kwenye magamba kwani yalikwisha ondolewa tatizo ni magwanda.na moja wao amekatwa jana bado wengine labda tundu lisu anajua alikojifichadah..sasa kweli naamini magamba wamedhamiria kuongoza nchi milele,