SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Sasa ndiyo tunashuhudia utawala dhalimu na wa mabavu wa JK.Kila auaye kwa upanga atakufa kwa upanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka afanyiwe kama Ulimboka na Kibanda ndo akimbie akiwa tayari kahasiwa. Huyu ndiye mjanja na inaonyesha yuko highly informed na halali usingizi
Nakubaliana na aliyesema Utawala wa KIkwete ni wakimafia ni kuuwa kila anayeukosoa kwa sasa namwamini kabisa na alichosema ,Kikwete mpaka aondoke atakuwa ameua wananchi wengi zaidi ya Risi yeyote aliyewahi kutawala hivi huwa najiuliza afanyavyo haya huwa anawashirikisha Jaji Othman,Mkuu wa Usalama Othman na msaidizi wake Jack Zoka,IGP-Saidi Mwema,Makamu wa Raisi Bilali,Kamishena wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam -Selemani Kova akisaidiwa na Ahmed Msangi kama hawahusishi wanamshauri vipi hawa Raisi wetu
akili ndogo kama mpuuzi mmoja anapenda kucheka cheka kama mwanamke aliyesamehe wezi wa mabilioni benki kuu
Duniani kuna watu na viatu. Wewe jichagulie kundi unalostahili hapo.
Akina Max wa JF wawe makini, kwani yawezekana kuwa wako kwenye pipeline!!
Mkuu NasDaz
Umeniacha hoi; nimecheka sana; Mohamedi Mtoi anataka kutufanya sisi mapimbi kule kwa Lwakatare kwenye moto hatii mguu anatuletea uzushi ambao mods wamepangua; mkuu NasDaz hawa kina Mohamedi Mtoi wapo JF kwa viposho wanavyopewa pale mtaa wa Togo wapo wengi sana humu JF wanaganga njaa kwenye siasa; na wengine wanajipendekeza kwa viongozi ili wafikiriwe kupewa vijinafasi; sisi tupo JF tukiwa na uhuru wa mawazo hatupo hapa kumfurahisha mtu tunakupa kitu stereo kama kilivyo.
Chama
Gongo la mboto DSM
Jambo moja nina uhakika nalo mkuu wangu....wewe na chama, bila shaka hata wewe na mimi mitizamo yote hutofautiana kisiasa...!!! Mkishatofautiana, mara kwa mara hata michango yenu itakuwa tofauti hususani kama mtakuwa mnajadili political issues....! So, chama akitofautiana na wewe si kwamba ana closed mind.Mkuu.
Usiwe na closed mind kama chama! Hivi kama tayari kuna uzi wa Rwekatare kwenye mjadala mimi kazi yangu ni kuja kukanusha ya Rwekatare hata kama sina uhakika na kinacho mhusu?! Mimi sio wa hovyo kiasi hicho mkuu!
Na kuanzisha uzi mwingine kuhusu jambo lingine ni haki yangu ya msingi kama jinsi aliye anzisha uzi wa Rwekatare alivyo tumia haki yake ya msingi. Swala la msingi ni kujiridhisha kama ni kweli au sio kweli.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Naomba ujumbe huu umfikie na ndugu Yericko Nyerere wasije wakamzamisha kwenye kivuko cha kigamboni maana huwa anawasema CCM kwa sauti kali sana
Wana Jukwaa, Nawashukuru nyote kwa namna ya pekee kujali na kupaza sauti zilizowatia hofu watesi wangu na kunijaza ujasiri wa kurejea katika uwanja huu na mapambano ya mabadiriko Tanzania. Kusema kweli sina maneno kwa namna eyote kuweza kuwasilisha shukrani zangu ipasavyo: Naomba itoshe nisemaapo ASANTE! Kwa hoja na mihemuko iliyojitokeza humu kwenye jamvi na mijadala juu ya yale yaliyojiri, nitarudi hapa kwa wakati na kufuata haja na mijadala iliyopo kutoa ufafanuzi na au majibu iwezekanavyo. Mimi niko salama, nimerejea kazini na naamini niko tayari kuitumikia jamii yetu kuendeleza harakati za kuijenga Tanzania (na zaidi Tanganyika) bora kwa kizazi hiki na vijavyo! Mungu awabariki sana.
Mwanaharakati Marcosy Albanie ametoweka nyumbani kwake baada ya kufuatiliwa na watu wasio julikana kwa kipindi cha siku kadhaa.
Mtakumbuka mara ya mwisho Bwana huyu alionekana kwenye kipindi cha kipima joto kilicho rushwa kwenye runinga ya ITV kikimshirikisha yeye, mbunge wa Singida mashariki Mh Tundu Lissu pamoja na naibu spika Mh Job Ndugai.
Chanzo: Mabadiliko.
NB. Marcosy anajishughulisha na taasisi ya kiraia inayo fuatilia mwenendo wa shughuli za bunge pamoja na masuala mengine katika jamii.
![]()
Kutoka kwenye gazeti la Mwananchi ijumaa, Machi 15, 2013. Uk 8.
Akizungumza- jana kutoka alikokimbilia,- Marcossy alisema ameamua kuikimbia nyumba yake kwa ajili ya usalama na kubainisha kuwa taarifa ya vitisho vyake aliwasilisha kwa Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRD-Coalition,) Onesmo Olengurumwa.