Mwanaharakati Albanie Marcossy atoweka kunusuru maisha yake

Mwanaharakati Marcosy Albanie ametoweka nyumbani kwake baada ya kufuatiliwa na watu wasio julikana kwa kipindi cha siku kadhaa.

Mtakumbuka mara ya mwisho Bwana huyu alionekana kwenye kipindi cha kipima joto kilicho rushwa kwenye runinga ya ITV kikimshirikisha yeye, mbunge wa Singida mashariki Mh Tundu Lissu pamoja na naibu spika Mh Job Ndugai.

Chanzo: Mabadiliko.

NB. Marcosy anajishughulisha na taasisi ya kiraia inayo fuatilia mwenendo wa shughuli za bunge pamoja na masuala mengine katika jamii.

UPDATE:
JamiiForums imewasiliana na Macossy yu mzima, hakuwa jijini Dar lakini yupo salama.

Mkuu wewe kweli ndo unaijua siasa!! Umeucheeeeki ule uzi wa Lwakatare, kila ukipiga mahesabu unakuta kukanusha haukanushiki, kuuunga mkono haiwezekaniki; badala yake ukaamua kuja kutudondoshea lijinyuzi lingine huku!
 
kitalolo
tanzania ya leo ni zaidi ya tunavyoifahamu
wanatulazimisha kurudi enzi za ujima
na ukijitokeza kusema kweli ni ole wako.

'..........Navumilia tu kwani haya yote yana mwisho..............'

nimeipenda kauli yako ya mwisho inaonyesha hali ya kuwa na matumaini na ya kujipa moyo na yakutokukata tamaa. safisana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu. Naamini hawa manguli wanachukua hatua thabiti kuepusha macho na meno yao dhidi ya makoleo ya kina Joseph Mulundi.

Atakaye pona JF ni Invisible peke yake maana hawata muona au huenda wako naye lakini hawamuoni.

Mgosi Mohamedi Mtoi
Hivi mna kiwanda cha uzushi? Umeleta uzushi JF wameupangua jamani porojo zenu zielekezeni kwenye maendeleo; inatisha sana kuona vijana kama wewe mmejikita kwenye siasa za uzushi na majungu; Taifa linawahitaji acheni uongo na uzushi mtageuka vilema wa tabia

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Mtoi, inaonekana una ratiba ya kila siku ya Marcosy Albanie.

Kutokukuaga siku moja tu tayari roho juu?
 
Mkuu wewe kweli ndo unaijua siasa!! Umeucheeeeki ule uzi wa Lwakatare, kila ukipiga mahesabu unakuta kukanusha haukanushiki, kuuunga mkono haiwezekaniki; badala yake ukaamua kuja kutudondoshea lijinyuzi lingine huku!

Mkuu NasDaz
Umeniacha hoi; nimecheka sana; Mohamedi Mtoi anataka kutufanya sisi mapimbi kule kwa Lwakatare kwenye moto hatii mguu anatuletea uzushi ambao mods wamepangua; mkuu NasDaz hawa kina Mohamedi Mtoi wapo JF kwa viposho wanavyopewa pale mtaa wa Togo wapo wengi sana humu JF wanaganga njaa kwenye siasa; na wengine wanajipendekeza kwa viongozi ili wafikiriwe kupewa vijinafasi; sisi tupo JF tukiwa na uhuru wa mawazo hatupo hapa kumfurahisha mtu tunakupa kitu stereo kama kilivyo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
huyu jamaa lazima wamteke siku ile kipima joto walimbana Ndugai hadi akashidwa kupumua!siasa za bongo zimefika patamu sasa
 
Yeye si ametaka afe, anakimbia nini tena. Aheshimu ujumbe wa bango lake. Shujaa hakimbii uwanja wa mapambano
 
Mkuu NasDaz
Umeniacha hoi; nimecheka sana; Mohamedi Mtoi anataka kutufanya sisi mapimbi kule kwa Lwakatare kwenye moto hatii mguu anatuletea uzushi ambao mods wamepangua; mkuu NasDaz hawa kina Mohamedi Mtoi wapo JF kwa viposho wanavyopewa pale mtaa wa Togo wapo wengi sana humu JF wanaganga njaa kwenye siasa; na wengine wanajipendekeza kwa viongozi ili wafikiriwe kupewa vijinafasi; sisi tupo JF tukiwa na uhuru wa mawazo hatupo hapa kumfurahisha mtu tunakupa kitu stereo kama kilivyo.

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama.
Naona unazidi kujidhihirisha kuwa uwezo wako niwa chini sana! Hivi ulikuwa unataka nikaee kwenye uzi wa Rwekatale tu kutwa kucha kama unavyofikiria wewe?! Au mchango wangu hujauona?!

Na je, moderator amekanusha kuwa Marcossy hatafutwi au ali update kuwa ni mzima?! Au kwa akili yako kutafutwa na kuwa mzima ni jambo moja?! Hata ulimboka pia alikuwa mzima alipo tafutwa na Mulundi kufanya kazi yake nini kilijiri?! Je haiwezekani kwa Marcossy?!

Hata hivyo, wenye akili wanajua mchezo uliopo nyuma ya sakata la Rwekatare, siongozwi na ushabiki au kutetea kila kitu ila ukweli ukidhihirika kwa kuwa tuko hapa hapa tuta kumbushana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu Mohamedi Mtoi
Usijifanye hamnazo unajua fika ule ni moto huwezi kuuchezea; leo ni Ijumaa usiharibu udhu wako kwa unazi wa siasa; tunashukuru jamaa tumehakikishiwa na mods ni salama ulitaka kuyazusha hata kabla ya kupata uhakika wa habari yenyewe

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wewe kweli ndo unaijua siasa!! Umeucheeeeki ule uzi wa Lwakatare, kila ukipiga mahesabu unakuta kukanusha haukanushiki, kuuunga mkono haiwezekaniki; badala yake ukaamua kuja kutudondoshea lijinyuzi lingine huku!

Mkuu.
Usiwe na closed mind kama chama! Hivi kama tayari kuna uzi wa Rwekatare kwenye mjadala mimi kazi yangu ni kuja kukanusha ya Rwekatare hata kama sina uhakika na kinacho mhusu?! Mimi sio wa hovyo kiasi hicho mkuu!

Na kuanzisha uzi mwingine kuhusu jambo lingine ni haki yangu ya msingi kama jinsi aliye anzisha uzi wa Rwekatare alivyo tumia haki yake ya msingi. Swala la msingi ni kujiridhisha kama ni kweli au sio kweli.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.
Usiwe na closed mind kama chama! Hivi kama tayari kuna uzi wa Rwekatare kwenye mjadala mimi kazi yangu ni kuja kukanusha ya Rwekatare hata kama sina uhakika na kinacho mhusu?! Mimi sio wa hovyo kiasi hicho mkuu!

Na kuanzisha uzi mwingine kuhusu jambo lingine ni haki yangu ya msingi kama jinsi aliye anzisha uzi wa Rwekatare alivyo tumia haki yake ya msingi. Swala la msingi ni kujiridhisha kama ni kweli au sio kweli.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu Mohamedi Mtoi
Mimi nina open mind simfanyii kazi mtu wala sipo kumfurahisha mtu JF

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Kwa ufupi leo nimepata mawasiliano na Marcossy na amesema hakika hajambo, japo hakutaka kuongea kwa urefu na kudai atulie kwanza akili ikae sawa ndipo ataongea.
 
pole sana kaka makocy,ushindi u karibu yetu,kaza moyo usiache wala kurudi nyuma uzuri nakufahamu vizuri kaka.endelea kupgana.
 
Kwa ufupi leo nimepata mawasiliano na Marcossy na amesema hakika hajambo, japo hakutaka kuongea kwa urefu na kudai atulie kwanza akili ikae sawa ndipo ataongea.

Kuna watu wanajaribu kupotosha makusudi ili ionekane Marcossy hana tishio lolote dhidi yake, lakini ukweli uko wazi kuwa kuna anacho kifanya kwenye harakati zake kuna watu badala ya kufurahi wana nuna na kukasirika kwa sababu wanazo jua wao.
 
Wadau muwe makini ni kweli ametoweka kujificha au ametekwa na sasa yupo magwe pande baada ya rama na zowa kufanya mambo yao.
 
Back
Top Bottom