Mwanaharakati Boniface Mwangi Atangaza Kuwania Urais Kenya 2027

Mwanaharakati Boniface Mwangi Atangaza Kuwania Urais Kenya 2027

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga serikali yanayoshirikisha vijana wengi, anataka kugeuza nguvu hizo za maandamano kuwa harakati ya kisiasa. Hapo awali, aliwania ubunge mwaka 2017 kwa tiketi ya kupinga ufisadi lakini hakufanikiwa

1756363920435.png

Akizungumza wakati wa kuzindua azma yake, Mwangi alisema viongozi wa Kenya wameshindwa kuwahudumia wananchi na badala yake kuwalazimisha kutoa rushwa ili kupata haki zao. Alisisitiza kuwa ni wakati wananchi kuchukua hatima ya nchi mikononi mwao. Mwangi pia amewahi kufukuzwa Tanzania mwaka huu baada ya kufuatilia kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa upinzani, Tundu Lissu, na Julai alikabiliwa na kesi ya kumiliki mabomu ya machozi na risasi moja nyumbani kwake, ambapo alikana mashtaka hayo

Uchaguzi wa Kenya unatarajiwa kufanyika Agosti 2027 na wagombea wote watahitajika kuidhinishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC). Tayari wengine waliotangaza nia ya kuwania urais ni Seneta Okiya Omtatah, Jaji Mkuu mstaafu David Maraga, na Rais wa sasa William Ruto anayetaka kuchaguliwa tena. Viongozi wa upinzani pia wanapanga kuungana na kusimamisha mgombea wa pamoja

1756363965689.png

Soma pia

---------------
Kenyan human rights activist Boniface Mwangi, who has played a prominent role in anti-government protests, said on Wednesday he plans to run for the presidency in the country's 2027 election. His candidacy will test whether the popular support for protests, led by young Kenyans over the last two years, can be translated into an electoral movement.

Mwangi previously ran unsuccessfully for parliament in 2017 on an anti-corruption platform. He has over the course of years earned a reputation for speaking out against human rights violations in Kenya and abroad. "Our leadership has failed us in numerous ways. You pay taxes expecting service, or you're supposed to pay bribes to get that same service," he said during an event to announce his presidential bid. "So as we stand here, our country must be taken back into our hands."

1756364101439.png

He was expelled from neighbouring Tanzania in May after travelling there to observe a hearing in a treason case against opposition leader Tundu Lissu. In July, a Kenyan court charged Mwangi with possession of teargas canisters and a single rifle round found in his home

He pleaded not guilty, saying the authorities had no evidence and called the prosecution "a big shame". Elections in Kenya are due in August 2027. Mwangi's candidacy will have to be cleared by the Independent Electoral Boundaries Commission that qualifies all candidates. Others who have announced presidential bids include Senator Okiya Omtatah and former Chief Justice David Maraga.

Incumbent President William Ruto also intends to seek re-election. A coalition of opposition leaders, led by two former deputy presidents and other former government officials, also intends to field a presidential candidate

Source: Reuters
 
Kilema alichotiwa hakina tiba
 
Ajiandae kuishi Kwa tabu sana,
Viongozi WA kiafrika Wana alleji Sana na wanaharakati
 
Back
Top Bottom