Mwanaharakati Jane Magigita ajitosa kugombea Ujumbe Muwakilishi kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuwakilisha Mashirika yasiyo ya Kiserikali

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
Mfahamu mgombea nafasi ya mjumbe wa Baraza la Kitaifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NACONGO) mkoa wa Dar

ES SALAAM Bi. Jane Magigita, Mwaka 2014 alitunukiwa tuzo ya MARTIN LUTHER KING AWARD kwa kupigania haki za kisheria za Wanawake.

Tuzo hiyo ya haki ya Dk. Martin luther king, Jr hutolewa kila mwaka na Balozi wa marekani nchini Tanzania ikiwa sehemu ya kuenzi maisha na mafanikio ya Dk. Martin luther king.

Bi. Jane Magigita ni kielelezo tosha cha Mwanaharakati mwenye mchango mkubwa katika kutetea haki za Raia nchini hususani Wanawake. Pia Anauzoefu mkubwa katika maswala mazima ya kuendesha Mashirika yasiyo ya Kiserikali.

Bi. Jane Magigita amewahi kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la WLAC linalotoa Msaada wa kisheria kwa Wanawake na Watoto Tanzania

Pia amewahi kupokea Tuzo ya Mwanamke mwenye Ushawishi, 2018.

#Mashirika Imara, NACONGO IMARA

Mfahamu Mgombea nafasi ya MJUMBE WA BARAZA LA KITAIFA LA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (NACONGO) MKOA WA DAR ES SALAAM Bi. Jane Magigita, Mwaka 2014 alitunukiwa tuzo ya MARTIN LUTHER KING AWARD kwa kupigania haki za kisheria za Wanawake.

Tuzo hiyo ya haki ya Dk. Martin luther king, Jr hutolewa kila mwaka na Balozi wa marekani nchini Tanzania ikiwa sehemu ya kuenzi maisha na mafanikio ya Dk. Martin luther king.

Bi. Jane Magigita ni kielelezo tosha cha Mwanaharakati mwenye mchango mkubwa katika kutetea haki za Raia nchini hususani Wanawake. Pia Anauzoefu mkubwa katika maswala mazima ya kuendesha Mashirika yasiyo ya Kiserikali.

Bi. Jane Magigita amewahi kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la WLAC linalotoa Msaada wa kisheria kwa Wanawake na Watoto Tanzania

Pia amewahi kupokea Tuzo ya Mwanamke mwenye Ushawishi, 2018.

#Mashirika Imara, NACONGO IMARA

Basi kama yuko vzr namna hiyo ni vyema tumtumie atuletee mabadiliko yaliyo bora ktk jamii.
 
Huyu ni yule dada yake Masota? I forgot her first name.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…