“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”