Kizazi Cha Nyerere ndo kila Fanya ovyo zaidi ya kwenda kuishi kwenye majumba ya wazungu masaki baada ya kuwatimua hakuna walichofanya
“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”
Azimio la Arusha lilikuwa na mapungufu mengi ndo maana hata kiongozi anayelalamika kuhusu Haliishi na hajawahi kuliishi azimio la ArushaHivi marehemu Rais Mwinyi ni kizazi gani maana ndiyo kilifuta Azimio la Arusha.
Ulitaka wabomowe au wauze?Kizazi Cha Nyerere ndo kila Fanya ovyo zaidi ya kwenda kuishi kwenye majumba ya wazungu masaki baada ya kuwatimua hakuna walichofanya
Mbadala wa Azimio la Arusha ukawa ufisadi na unyang'anyi wa mali za umma!Azimio la Arusha lilikuwa na mapungufu mengi ndo maana hata kiongozi anayelalamika kuhusu Haliishi na hajawahi kuliishi azimio la Arusha
Ufisadi Tanzania kitambo sana hata kipindi Cha azimio la ArushaMbadala wa Azimio la Arusha ukawa ufisadi na unyang'anyi wa mali za umma!
Apewe ubunge wa heshima
“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”
Wajenge zaoUlitaka wabomowe au wauze?
Watu 4 kati yenu 1 anatatizo la afya ya akili, kwa mujibu wa wizara ya afya inamaana katika wabunge 100 wabunge 25 kati ya hao 100 wanatatizo la afya ya akili, kwa lugha rahisi robo ya wabunge wanatatizo la afya ya akili
“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”
Mkuu washauri wawe makini, wapo kwenye radar ya wasiojulikana. Kina Soka hawajapatikana!
“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”
Mpuuzi kashindwa kujitafutia maisha amebaki analaumu ,nyie misukule ya mzee Mbowe ngonjera zenu hazitawasaidia chochote zaidi ya kupoteza muda wenu ambao mnashindana na ukuta
“Kizazi baada ya Nyerere ndiyo kimefanya Tanzania imekuwa maskini. Kizazi kimeuza viwanda. Kizazi kinang’ang’ania kubaki madarakani. Kizazi kimewekeza kwenda bungeni na kununua V8. Kizazi kinasifu kila kitu Rais anachofanya. Ni kizazi chenye watu wasiokuwa na akili timamu”
Acha uoga, ndo kizazi tajwa nini wewe?Mkuu washauri wawe makini, wapo kwenye radar ya wasiojulikana. Kina Soka hawajapatikana!
Wasisitize wajikite walikoanzia kwenye kuchambua dini, kwenye siasa chaka lingine, umakini uzingatiwe.
Jumapili Mubarak.
Fisadi mwingine huyu hapa!Mpuuzi kashindwa kujitafutia maisha amebaki analaumu ,nyie misukule ya mzee Mbowe ngonjera zenu hazitawasaidia chochote zaidi ya kupoteza muda wenu ambao mnashindana na ukuta
Kina Mwigulu hao!
🙏Acha uoga, ndo kizazi tajwa nini wewe?
Nyerere ndiyo alisababisha haya