mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Oct 13, 2024 #21 Kizaz cha sahv ndy balaaa kabisa wao kukata uno na kupakwa mafuta tu Ova
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 13, 2024 #22 G4N said: "Mafala yanafurahia kupanda ndege kufuatia nguo China, lkn hayajawahi kuwaza kurudi na mashine yatengeneze nguo hapa hapa Tanzania ili yaziuze nchi jirani". Bonge moja la mtazamo toka kwa Wachokonozi . Click to expand... Sababu tunaongozwa na wajinga ndiyo maana kila kitu ni China
G4N said: "Mafala yanafurahia kupanda ndege kufuatia nguo China, lkn hayajawahi kuwaza kurudi na mashine yatengeneze nguo hapa hapa Tanzania ili yaziuze nchi jirani". Bonge moja la mtazamo toka kwa Wachokonozi . Click to expand... Sababu tunaongozwa na wajinga ndiyo maana kila kitu ni China
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 13, 2024 #23 Izia maji said: Fisadi mwingine huyu hapa! Click to expand... Huyu ni chizi hata siyo fisadi
Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Oct 15, 2024 #24 mrangi said: Kizaz cha sahv ndy balaaa kabisa wao kukata uno na kupakwa mafuta tu Ova Click to expand... Tuna safari ndefu ya kuwaelimisha vijana kujua haki zao!
mrangi said: Kizaz cha sahv ndy balaaa kabisa wao kukata uno na kupakwa mafuta tu Ova Click to expand... Tuna safari ndefu ya kuwaelimisha vijana kujua haki zao!