Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Aramun

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
461
Reaction score
2,213
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

Screenshot_2025-01-12-17-02-44-742_com.twitter.android-edit.jpg

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

Screenshot_2025-01-12-17-09-40-126_com.twitter.android-edit.jpg



maria abduction car.jpg

Soma pia:
 
Panawaka...

.....Edit....

Kwa aina ya activism anazoendesha Maria, global and local politics...
Kenya isn't and wasn't the right choice to be...

Natumai apatikane akiwa hai, lakini aachane na Nairobi kabisa

Nairobi wanatekwa watu wengi sana na haijulikani wimbi hili litaisha lini.

Mengi yatahusisha serikali lakini hatuwezi jua Nairobi kuna hooligans wengi wa kutosha..


Edit...

Tunajulishwa na Fatma Karume kwamba amepatikana salama na yupo nyumbani kwake...🙏
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

View attachment 3199790
Kwa Nairobi! Hiyo imetoka,ikirudi ina panja!

Wataml.. na kumpotezea mbali!
Nairobi Huwa tunasema, Ukiona mayoa ujue kaliwa
 
Ni mapema kusema serikali hii au ile inahusika. Lakini kama wanahusika basi wajue wanaangukia kwenye mtego uleule alionasa JPM.

Ukianza kuua watu, basi umewatangazia maadui zako kuwa kuuana ni 'fair game'. Kwamba na wao watumie mbinu yoyote wanayoweza. Kamwe hautoshinda!

Natumaini serikali yangu haihusika kabisaa na drama hizi.
 
Back
Top Bottom