Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tayari majambazi yameshirikiana.

Yale yale ya Besigye kutekwa

Ila kama ni kweli mimi nilishangaa uwe mkosoaji halafu unakaa puani mwa banana republic ambayo kukufikia ni masaa 4 tu.

Hakujifunza kwa Ezekiah Ochuka na Pancras Okumu Oteyo walivyouzwa .
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

View attachment 3199790
TISS wanaiga umafia wa Kagame(that's if it's a true story), kufanya abduction katika nchi ya watu ni kusababisha mvutano kati ya nchi na nchi unless kama wameshirikiana na shirika la kijasusi la Kenya(the shit has happened in Nairobi).
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
HAPANA HAPANA HILI HAPANA!!
 
Mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom