Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni mapema kusema serikali hii au ile inahusika. Lakini kama wanahusika basi wajue wanaangukia kwenye mtego uleule alionasa JPM.

Ukianza kuua watu, basi umewatangazia maadui zako kuwa kuuana ni 'fair game'. Kwamba na wao watumie mbinu yoyote wanayoweza. Kamwe hautoshinda!

Natumaini serikali yangu haihusika kabisaa na drama hizi.
Serekali ya sisiemu ndio wahusika kwenye hili. Walianza na dr Slaa sasa wanamaliza na Maria.
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
Mama Abdul ameanza ku export ugaidi wake
 
Sasa hawa wanaharakati na wanasiasa wengine wenye maoni makali wawe na ulinzi wa kufa mtu, saa yoyote wanaweza kutekwa. Yaani kama una ulinzi wa kufa mtu watekaji itabidi wajipange vema la sivyo watachezea kipigo cha kufa mtu, ni hatari sana!
Wakamjaribu HECHE... Hawatatoka salama..
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
Huyu ni ccm toka ccm family, yaani familia. Watamuuliza uliza vijiswali na kumtisha. Ila hawatamchapa hata Kofi. Watamuachia. Hutaki kuamini acha
 
Back
Top Bottom