Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Serekali ya sisiemu ndio wahusika kwenye hili. Walianza na dr Slaa sasa wanamaliza na Maria.Ni mapema kusema serikali hii au ile inahusika. Lakini kama wanahusika basi wajue wanaangukia kwenye mtego uleule alionasa JPM.
Ukianza kuua watu, basi umewatangazia maadui zako kuwa kuuana ni 'fair game'. Kwamba na wao watumie mbinu yoyote wanayoweza. Kamwe hautoshinda!
Natumaini serikali yangu haihusika kabisaa na drama hizi.
Mbowe anaweza kumuamuru Ruto?Aisee sasa Mbowe anaanza kuwasaka wanaomsaport Lisu,
Ni doa kwa Ruto maana
Serikali ikikutaka inafyeka mpaka walinzi wakoSasa hawa wanaharakati na wanasiasa wengine wenye maoni makali wawe na ulinzi wa kufa mtu, saa yoyote wanaweza kutekwa. Yaani kama una ulinzi wa kufa mtu watekaji itabidi wajipange vema la sivyo watachezea kipigo cha kufa mtu, ni hatari sana!
Mama Abdul ameanza ku export ugaidi wakeTAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.
View attachment 3199795
duh! Ni kweli, maana ina maguvu mengiSerikali ikikutaka inafyeka mpaka walinzi wako
Wakamjaribu HECHE... Hawatatoka salama..Sasa hawa wanaharakati na wanasiasa wengine wenye maoni makali wawe na ulinzi wa kufa mtu, saa yoyote wanaweza kutekwa. Yaani kama una ulinzi wa kufa mtu watekaji itabidi wajipange vema la sivyo watachezea kipigo cha kufa mtu, ni hatari sana!
DahHuyu nae alizidisha mdomo ngoja kwanza afinywe kidogo
Acheni zenu hizo kwa hio kwa sababu Bibi ushungi alibwakwa basi mnaona kila mtu wa kubakwaFormula ndio inasema hivyo ndugu yangu ..
Ukitekwa lazma upelekewe moto.
Wakiume t wanavaa kanga mkuu
ana ulinzi gani?Wakamjaribu HECHE... Hawatatoka salama..
Wewe uliwahi kubakwa?Hawawezi kwa nini?
Kama katekwa na majambazi utajuaje naona umehitimisha kuwa ni tissTISS wanaiga umafia wa Kagame(that's if it's a true story), kufanya abduction katika nchi ya watu ni kusababisha mvutano kati ya nchi na nchi unless kama wameshirikiana na shirika la kijasusi la Kenya(the shit has happened in Nairobi).
Huyo analetwa Bongo kuungana na Dr Slaa.
Mtakuja kuona taarifa ya Jeshi la Polisi kesho Jumatatu.
Kweli Mbowe naye ana mkono mrefu 🙌
Huyu ni ccm toka ccm family, yaani familia. Watamuuliza uliza vijiswali na kumtisha. Ila hawatamchapa hata Kofi. Watamuachia. Hutaki kuamini achaTAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.
View attachment 3199795
Hao ndio wapiga Kampeni wake na kina ShangaziKipimo cha Lisu ni hiki hapa!