Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
No comment tunasubiri taarifa rasmi
 
Abduli na Mchengerwa wanahusika for sure.Sema kuna mtu wake wa karibu kamsaliti.Hivi Abduli na Mchengerwa mtaishi milele?Kusema ukweli kina Abdul ni katili kuliko Magufuli.
Bado hamjachoka tu...zungumzeni hali halisi, msijifiche nyuma ya Magu; miaka 4 hayupo, hakuna mwenye akili tofauti ya kufanya tofauti ila kulaumu tu?

Wengine utasikia, Nyerere ndo katufikisha hapa, kweli? Vizazi vingapi vimepita baada yake na hakuna lililofanyika hata akalaumiwa yeye na sio walioko?

Walitekwa akina Ulimboka, wakapotea akina Ben na sasa wanapotea na kufa akina Kibao n.k; mamlaka inasema ni kawaida ILA bado mna MAGUFULI tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…