M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Mange na Kabendera wako salama sana labda waende East Africa, walimshindwa Chahali kivipi unadhani. Kuna nchi ikiwa ndiyo base yako kwa level za TISS jua tu uko safe labda wasaidiwe na mashirika makubwa ya kijasusi na hayo mashirika hufanya kazi kwa mtindo wa nipe nikupe. Kabla ya kusaidiwa you gotta put something on the table.Kuna yule pimbi anaitwa mmawio kipindi kile (2021) anakata viuno humu kuwa hakuna mtu atatekwa tena wala kuokotwa kwenye kiroba nilimwambia "Muda utaongea".
Noah sasa zinavuka border,ni kama Kagame tu hata uhamishoni wakosoaji wake hula shaba.
Mange,Kibendera wakae radar hili ni picha la kutisha.
Walishapanda chap, na matokeo ndo hayooooo....TLS pandeni kwa Moi,kumpigania baby wa TAL
Dah! Hii issue imemwibua hadi Kiranga! E bana ulikuwa wapi mjomba? Some of us were seriously wondering if you were ok.Raisi kashaweka mfumo sasa hivi anawateka hata kutoka kaburini, huelewi wapi?
Kabisa, ameona naye wamuunganishe na Dr mihogoWatu wakisema ni kipenyo kuna watu Wanabisha
Mkuu,Dah! Hii issue imemwibua hadi Kiranga! E bana ulikuwa wapi mjomba? Some of us were seriously wondering if you were ok.
Jeshi hili hili la PolisiPolisi ipi?
Kapatikana?Kama hapa Tanzania tu wanasema hawahusiki, sembuse imetokea Kenya...!?
Kwa heri Maria...!
Wapi apo nimewaza Ngono Braza...Nionyeshe iyo sehemu niliyowaza nijirekebishe.Unawaza ngono all the time kama mbwa. Waza kivingine broo
Kamdomo, Kamdomo.Kwa Nairobi! Hiyo imetoka,ikirudi ina panja!
Wataml.. na kumpotezea mbali!
Nairobi Huwa tunasema, Ukiona mayoa ujue kaliwa
Uzi umetembea. Hii maana yake maria ana ushawishi kwa jamii.TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.
View attachment 3199795
View attachment 3199974View attachment 3199975
Nashindwa kuelewa mtu kufurahia wenzake kuumizwa au kuuwawa.🤔 roho chafu sana.Ulikuwa unashangilia, amepatikana sasa.
Mungu ni mkubwa.
Mwanamke mzuri,kama Maria, anawezaje akatekwa,Jijini Nairobi na wanaume watatu wenye silaha za moto,na gari ,then baada ya Lisaa upatikane ukiwa hai na kitamu Kiko salama?Wenye akili watambue hakuna watekaji wenye nia ovu kweli wakuchukue halafu wakuachie ukiwa safe bila mkwaruzo wala uchovu,hao amnesty walijuaje kama sio kupewa taarifa na Sativa aliyeandaa nae huo mchongo hapa anataka kuichafua serikali na Mbowe
Mariah mkakati wake umebuma huwezi tekwa kenya ukatoka salama watu wanajua wanaotekwa kenya nini kinawapata Mariah umeshtukiwa!
Inafikirisha sana!Mwanamke mzuri,kama Maria, anawezaje akatekwa,Jijini Nairobi na wanaume watatu wenye silaha za moto,na gari ,then baada ya Lisaa upatikane ukiwa hai na kitamu Kiko salama?
Acha ujinga wewe, kila kitu kilikuwa live wewe fala. Wewe una akili? Unamtetea Makonda na Samia?Wenye akili watambue hakuna watekaji wenye nia ovu kweli wakuchukue halafu wakuachie ukiwa safe bila mkwaruzo wala uchovu,hao amnesty walijuaje kama sio kupewa taarifa na Sativa aliyeandaa nae huo mchongo hapa anataka kuichafua serikali na Mbowe
Mariah mkakati wake umebuma huwezi tekwa kenya ukatoka salama watu wanajua wanaotekwa kenya nini kinawapata Mariah umeshtukiwa!
Akili huna wewe zoba, ujiue ili iweje mjinga wewe. Mawazo mgando ya kimagufuli na bi mkoraNingekuwa Maria baada ya kujiteka ningejiua lengo ni kuichafua serikali ya Tanzania na ya Kenya.
Yeah, ningejiua kabisa.... ..
Hawa UWT hawana akiliJiteke na wewe kama unaona raha