secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Hahaha 𤣠umejuaje mkuu....Anataka lwenda ukimbizi ulaya anatafuta sababu
Hakutekwa huyo katengeheza tu script
Lengo ahamie ukimbizini ulaya huko ndio lengo lake kuu huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha 𤣠umejuaje mkuu....Anataka lwenda ukimbizi ulaya anatafuta sababu
Hakutekwa huyo katengeheza tu script
Lengo ahamie ukimbizini ulaya huko ndio lengo lake kuu huyo
Kwanini mkuu?š¹š¹š¤£ Ila humu ndani wachokozi sana
Hii ni sinema tu sawa na ile ya Nondo mwanaharakati maarufu wa ACT aliyedanganya picha zilizompiga kwa kujichafua na magrisi mwilini akisema zile ni damu za kipigo!.TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobiās Kilimani area.
View attachment 3199795
View attachment 3199974View attachment 3199975
Kibao, Soka na Ben Saanane wapo wapi?Hii ni sinema tu sawa na ile ya Nondo mwanaharakati maarufu wa ACT aliyedanganya picha zilizompiga kwa kujichafua na magrisi mwilini akisema zile ni damu za kipigo!.
Anayo malengo yake anayojua kwa kina yanatakiwa yamfanyie nini maishani mwake na anajua hili igizo litampatia umaarufu mkubwa zaidi.
Unaweza kuweka hadharani ushahidi uliokamilika kuhusiana na serikali ya SSH na masuala ya utekaji na mauaji ya hao watatu?Kibao, Soka na Ben Saanane wapo wapi?
Ulivyomwambia mwashamba pole kwa kupata ajali na boda ya chama, nipo naimagine hilo boda lilivyokolea rangi ya kijani na picha ya mama Samia š¹Kwanini mkuu?
Akiandaa lissu!Mkiandaa nyie utekaji huwa mtu hapatikani haraka?
Ana bahati sn amepata pikipiki mpya ya chama no E, sema shida hajui kuendesha anajifunzaUlivyomwambia mwashamba pole kwa kupata ajali na boda ya chama, nipo naimagine hilo boda lilivyokolea rangi ya kijani na picha ya mama Samia š¹
Sasa ww kiherehere cha nini kuanzisha uzi wa kujiliza badala ya Lisu kuanzisha?Akiandaa lissu!
Wenye akili nchi hii ndio mafala wa kuburuzwa na upuuzi wa bila kufikiria maria anakushikiaje akili ukaamini kila kitu nilikuwa naamini una udwanzi kiasi lakini kwa ulivyoandika na kuamini mariah katekwa nakuweka kundi la wadwuanzi wajuaji hata wasome waende nchi za nje upumbavu wao ni wa asili!Nilikuwa najua una upumbavu fulani lakini sikudhani ni kwa kiwango hiki
Ndio mtajua hamjui!Sasa ww kiherehere cha nini kuanzisha uzi wa kujiliza badala ya Lisu kuanzisha?
Pole sana unaishi kijiji gani jiongeze na huo ushamba wako kutokujua kama drama huwa ni live!Acha ujinga wewe, kila kitu kilikuwa live wewe fala. Wewe una akili? Unamtetea Makonda na Samia?
Ni bora bakora kuliko physiologically torments!!Yale siyo mateso ndugu usichanganye mada.
Jifunzege kujibu maswali kama unavyoulizwaUnaweza kuweka hadharani ushahidi uliokamilika kuhusiana na serikali ya SSH na masuala ya utekaji na mauaji ya hao watatu?
Mbowe juzi alimkemea Lissu kumuita Rais Samia Mama Abdul hadharani kwa kumhusisha na pesa za hongo akisema ni masuala ya kihuni yasiyofanana na hadhi ya Lissu.
Ukiwa Rais unageuka kuwa jalala ambalo kila mtu anatupia takataka zake muda wowote..
Sinema hizo zina malengo ya kumchafua Samia na pia zina malengo binafsi na maisha ya Maria mwenyewe.Jifunzege kujibu maswali kama unavyoulizwa
Magufuli, Samia, Makonda na wewe akili zenu zote zinafanana. Mnaua huku mnacheka, mashetani ninyi mmebakia watatu, mmoja anaungua moto huko alikokwenda. Fala wewePole sana unaishi kijiji gani jiongeze na huo ushamba wako kutokujua kama drama huwa ni live!
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.
Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.
View attachment 3199790
Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobiās Kilimani area.
View attachment 3199795
View attachment 3199974View attachment 3199975