Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
View attachment 3199974View attachment 3199975
Hii ni sinema tu sawa na ile ya Nondo mwanaharakati maarufu wa ACT aliyedanganya picha zilizompiga kwa kujichafua na magrisi mwilini akisema zile ni damu za kipigo!.

Anayo malengo yake anayojua kwa kina yanatakiwa yamfanyie nini maishani mwake na anajua hili igizo litampatia umaarufu mkubwa zaidi.
 
Kibao, Soka na Ben Saanane wapo wapi?
 
Kibao, Soka na Ben Saanane wapo wapi?
Unaweza kuweka hadharani ushahidi uliokamilika kuhusiana na serikali ya SSH na masuala ya utekaji na mauaji ya hao watatu?

Mbowe juzi alimkemea Lissu kumuita Rais Samia Mama Abdul hadharani kwa kumhusisha na pesa za hongo akisema ni masuala ya kihuni yasiyofanana na hadhi ya Lissu.

Ukiwa Rais unageuka kuwa jalala ambalo kila mtu anatupia takataka zake muda wowote..
 
Ulivyomwambia mwashamba pole kwa kupata ajali na boda ya chama, nipo naimagine hilo boda lilivyokolea rangi ya kijani na picha ya mama Samia 😹
Ana bahati sn amepata pikipiki mpya ya chama no E, sema shida hajui kuendesha anajifunza
 
Nilikuwa najua una upumbavu fulani lakini sikudhani ni kwa kiwango hiki
Wenye akili nchi hii ndio mafala wa kuburuzwa na upuuzi wa bila kufikiria maria anakushikiaje akili ukaamini kila kitu nilikuwa naamini una udwanzi kiasi lakini kwa ulivyoandika na kuamini mariah katekwa nakuweka kundi la wadwuanzi wajuaji hata wasome waende nchi za nje upumbavu wao ni wa asili!
 
" Tumepokea taarifa kuhusu kupotea kwa Maria Sarungi, ila yule ni mtu mzima unaweza kuta amaenda South Africa au yuko sehemu tu kajificha, ila tunaahidi kulifanyia kazi"
 
Unaweza kuweka hadharani ushahidi uliokamilika kuhusiana na serikali ya SSH na masuala ya utekaji na mauaji ya hao watatu?

Mbowe juzi alimkemea Lissu kumuita Rais Samia Mama Abdul hadharani kwa kumhusisha na pesa za hongo akisema ni masuala ya kihuni yasiyofanana na hadhi ya Lissu.

Ukiwa Rais unageuka kuwa jalala ambalo kila mtu anatupia takataka zake muda wowote..
Jifunzege kujibu maswali kama unavyoulizwa
 
Pole sana unaishi kijiji gani jiongeze na huo ushamba wako kutokujua kama drama huwa ni live!
Magufuli, Samia, Makonda na wewe akili zenu zote zinafanana. Mnaua huku mnacheka, mashetani ninyi mmebakia watatu, mmoja anaungua moto huko alikokwenda. Fala wewe
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
View attachment 3199974View attachment 3199975

Hivi ma CCM na timu ya mwamba walisema je?

Ndugu #fazili meongozo wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom