Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna yule pimbi anaitwa mmawio kipindi kile (2021) anakata viuno humu kuwa hakuna mtu atatekwa tena wala kuokotwa kwenye kiroba nilimwambia "Muda utaongea".

Noah sasa zinavuka border,ni kama Kagame tu hata uhamishoni wakosoaji wake hula shaba.

Mange,Kibendera wakae radar hili ni picha la kutisha.
Mange na Kabendera wako salama sana labda waende East Africa, walimshindwa Chahali kivipi unadhani. Kuna nchi ikiwa ndiyo base yako kwa level za TISS jua tu uko safe labda wasaidiwe na mashirika makubwa ya kijasusi na hayo mashirika hufanya kazi kwa mtindo wa nipe nikupe. Kabla ya kusaidiwa you gotta put something on the table.
 
TAARIFA za hivi punde kutoka Nairobi ni kuwa Maria Sarungi ametekwa na watu wenye silaha na kuondoka naye pasipo julikana. Tunaendelea kufuatilia.

Inasemekana ametekwa na wanaume 3 wenye silaha waliokuwa kwenye gari aina ya Noah nyeusi, katika mtaa wa Chaka kaunti ya Kilimani, Nairobi.

View attachment 3199790

Amnesty Kenya reports the kidnapping of Maria Sarungi, a prominent critic of Tanzanian President Samia Suluhu and her administration, she was reportedly abducted by three armed men driving a black Noah from Chaka Place in Nairobi’s Kilimani area.

View attachment 3199795
View attachment 3199974View attachment 3199975
Uzi umetembea. Hii maana yake maria ana ushawishi kwa jamii.
 
Wenye akili watambue hakuna watekaji wenye nia ovu kweli wakuchukue halafu wakuachie ukiwa safe bila mkwaruzo wala uchovu,hao amnesty walijuaje kama sio kupewa taarifa na Sativa aliyeandaa nae huo mchongo hapa anataka kuichafua serikali na Mbowe
Mariah mkakati wake umebuma huwezi tekwa kenya ukatoka salama watu wanajua wanaotekwa kenya nini kinawapata Mariah umeshtukiwa!
Mwanamke mzuri,kama Maria, anawezaje akatekwa,Jijini Nairobi na wanaume watatu wenye silaha za moto,na gari ,then baada ya Lisaa upatikane ukiwa hai na kitamu Kiko salama?
 
Wenye akili watambue hakuna watekaji wenye nia ovu kweli wakuchukue halafu wakuachie ukiwa safe bila mkwaruzo wala uchovu,hao amnesty walijuaje kama sio kupewa taarifa na Sativa aliyeandaa nae huo mchongo hapa anataka kuichafua serikali na Mbowe
Mariah mkakati wake umebuma huwezi tekwa kenya ukatoka salama watu wanajua wanaotekwa kenya nini kinawapata Mariah umeshtukiwa!
Acha ujinga wewe, kila kitu kilikuwa live wewe fala. Wewe una akili? Unamtetea Makonda na Samia?
 
Back
Top Bottom