Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Pre GE2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
relax gentleman,

ni muhimu sana kujitenga na harakati kwenye maisha na famili binafsi kwa manufaa binafsi, ni hatari sana,

ukishupaza shingo, huruma na masikitiko ya wadau havitakusaidia wakati huo.

be warned, be disciplined itakusaidia sana kuliko matusi na kutukana :NoGodNo:
Kuna watu huijitoa s
 
Ukiishi Afrika jijali wewe na familia yako. Hakuna haja ya kuwa mwanaharakati kwa raia wajinga na wapumbavu.

Waafrika ni jamii ya watu wa kuteseka milele yote.
 
Aiseee inasikitisha sana.

Ukweli mchungu ,Maria ndiyo basi tena hawezi kurudi.

Kwakuwa ametekwa Kenya means "Sirikali ya Lebanon" itakanusha kuhusika hivyo ataenda kuungana na Azory ,Ben ,Kanguye ,Soka etc

Sativa bora alivyokwenda ubelgiji angebaki KENYA wangemchoma mshikaki na yeye.
 
Juzi hapa yule mpinzani wa Museven Bw Kizza Besigye alitekwa Nairobi, hizi nchi za EA Africa za kixenge sana, ni kama serikali zote wanashirikiana kufanya uhalifu...
Yeah, obviously kuna aina flani ya makubaliano kuhusu kuteka watu na kuwakabidhi kwa nchi husika, it's like intelligence agencies zimeweka mfumo wa kupashana habari na kushirikiana katika operations zao.
 
Mbona ana
Aiseee inasikitisha sana.

Ukweli mchungu ,Maria ndiyo basi tena hawezi kurudi.

Kwakuwa ametekwa Kenya means "Sirikali ya Lebanon" itakanusha kuhusika hivyo ataenda kuungana na Azory ,Ben ,Kanguye ,Soka etc

Sativa bora alivyokwenda ubelgiji angebaki KENYA wangemchoma mshikaki na yeye.
amerudi ila anaonekana ni mtu wa wasiwasi sana, kwenye tweet yake hadi amelia mwishoni. Anyway tumuombee jamaa wasije kuwa wamemrekodi
 
Aiseee inasikitisha sana.

Ukweli mchungu ,Maria ndiyo basi tena hawezi kurudi.

Kwakuwa ametekwa Kenya means "Sirikali ya Lebanon" itakanusha kuhusika hivyo ataenda kuungana na Azory ,Ben ,Kanguye ,Soka etc

Sativa bora alivyokwenda ubelgiji angebaki KENYA wangemchoma mshikaki na yeye.
She is back.. Safe..
 
Attachments

  • Screenshot_20250112-202650.png
    Screenshot_20250112-202650.png
    450.2 KB · Views: 2
Mbona ana

amerudi ila anaonekana ni mtu wa wasiwasi sana, kwenye tweet yake hadi amelia mwishoni. Anyway tumuombee

Una uhakika ni yeye? Hivi unawajua majasusi vizuri? Kataitiwa atoe password za account kisha wanatweet wao hao wakora...Maria hawezi kurudi ,hapo wanaweka watu sawa wajue kwamba yupo.
 
Una uhakika ni yeye? Hivi unawajua majasusi vizuri? Kataitiwa atoe password za account kisha wanatweet wao hao wakora...Maria hawezi kurudi ,hapo wanaweka watu sawa wajue kwamba yupo.
Ndio yeye yupo salama, sema wanaompa taarifa wajiandae maana wamebaki na simu zake zote.

Simu zitafanyiwa upekuzi wa hali ya juu kujua ni nani anamlisha taarifa, then waanze kumulikwa
 
Back
Top Bottom