Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu huijitoa srelax gentleman,
ni muhimu sana kujitenga na harakati kwenye maisha na famili binafsi kwa manufaa binafsi, ni hatari sana,
ukishupaza shingo, huruma na masikitiko ya wadau havitakusaidia wakati huo.
be warned, be disciplined itakusaidia sana kuliko matusi na kutukana![]()
TISS wamejifunza kwa Kagame.Hizi pigo za Kagame hizi...
You get picked anywhere...
Yeah, obviously kuna aina flani ya makubaliano kuhusu kuteka watu na kuwakabidhi kwa nchi husika, it's like intelligence agencies zimeweka mfumo wa kupashana habari na kushirikiana katika operations zao.Juzi hapa yule mpinzani wa Museven Bw Kizza Besigye alitekwa Nairobi, hizi nchi za EA Africa za kixenge sana, ni kama serikali zote wanashirikiana kufanya uhalifu...
amerudi ila anaonekana ni mtu wa wasiwasi sana, kwenye tweet yake hadi amelia mwishoni. Anyway tumuombee jamaa wasije kuwa wamemrekodiAiseee inasikitisha sana.
Ukweli mchungu ,Maria ndiyo basi tena hawezi kurudi.
Kwakuwa ametekwa Kenya means "Sirikali ya Lebanon" itakanusha kuhusika hivyo ataenda kuungana na Azory ,Ben ,Kanguye ,Soka etc
Sativa bora alivyokwenda ubelgiji angebaki KENYA wangemchoma mshikaki na yeye.
Kabisa, cause wanajua wote wanapitia changamoto ya aina moja ambao ni upinzani...Yeah, obviously kuna aina flani ya makubaliano kuhusu kuteka watu na kuwakabidhi kwa nchi husika, it's like intelligence agencies zimeweka mfumo wa kupashana habari na kushirikiana katika operations zao.
She is back.. Safe..Aiseee inasikitisha sana.
Ukweli mchungu ,Maria ndiyo basi tena hawezi kurudi.
Kwakuwa ametekwa Kenya means "Sirikali ya Lebanon" itakanusha kuhusika hivyo ataenda kuungana na Azory ,Ben ,Kanguye ,Soka etc
Sativa bora alivyokwenda ubelgiji angebaki KENYA wangemchoma mshikaki na yeye.
Mkuu Daktari Bingwa umesadiki maneno yangu sasa na umeeleawa?Au sio ?
Ngoja atekwe Baba ako ndio useme haya vema
Akili huna
Pancha ndugu zakoKwa Nairobi! Hiyo imetoka,ikirudi ina panja!
Wataml.. na kumpotezea mbali!
Nairobi Huwa tunasema, Ukiona mayoa ujue kaliwa
Mbona ana
amerudi ila anaonekana ni mtu wa wasiwasi sana, kwenye tweet yake hadi amelia mwishoni. Anyway tumuombee
Mkuu nadhani umesadiki yale maneno yangu.
Polisi ipi?Huyo analetwa Bongo kuungana na Dr Slaa.
Mtakuja kuona taarifa ya Jeshi la Polisi kesho Jumatatu.
Kweli Mbowe naye ana mkono mrefu 🙌
Ndio yeye yupo salama, sema wanaompa taarifa wajiandae maana wamebaki na simu zake zote.Una uhakika ni yeye? Hivi unawajua majasusi vizuri? Kataitiwa atoe password za account kisha wanatweet wao hao wakora...Maria hawezi kurudi ,hapo wanaweka watu sawa wajue kwamba yupo.
Video siyo AI ile?She is back.. Safe..
Duuh Jina la mshua limemlinda nini? Labda jamaa target yao informers ,kweli waanze kukimbia na wao maana hawako salama.Ndio yeye yupo salama, sema wanaompa taarifa wajiandae maana wamebaki na simu zake zote.
simu zitafanyiwa upekuzi wa hali ya juu kujua ni nani anamlisha taarifa
Kwa page yake!?Video siyo AI ile?