secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Sasa kwa nini alijiteka?Akili huna wewe zoba, ujiue ili iweje mjinga wewe. Mawazo mgando ya kimagufuli na bi mkora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini alijiteka?Akili huna wewe zoba, ujiue ili iweje mjinga wewe. Mawazo mgando ya kimagufuli na bi mkora
Mbona wewe hujatekwaSubiri siku akitekwa mumeo ndiyo utajua ukweli
Mkiandaa nyie utekaji huwa mtu hapatikani haraka?Wenye akili watambue hakuna watekaji wenye nia ovu kweli wakuchukue halafu wakuachie ukiwa safe bila mkwaruzo wala uchovu, hao Amnesty walijuaje kama sio kupewa taarifa na Sativa aliyeandaa nae huo mchongo hapa anataka kuichafua Serikali na Mbowe
Mariah mkakati wake umebuma huwezi tekwa Kenya ukatoka salama watu wanajua wanaotekwa kenya nini kinawapata Mariah umeshtukiwa!
Vipi nilisikia umepata ajali na pikipiki ya chama, unaendeleaje mkuu?Mbona wewe hujatekwa
Wao wamezoea kuuaMkiandaa nyie utekaji huwa mtu hapatikani haraka?
Nilikuwa najua una upumbavu fulani lakini sikudhani ni kwa kiwango hikiWenye akili watambue hakuna watekaji wenye nia ovu kweli wakuchukue halafu wakuachie ukiwa safe bila mkwaruzo wala uchovu, hao Amnesty walijuaje kama sio kupewa taarifa na Sativa aliyeandaa nae huo mchongo hapa anataka kuichafua Serikali na Mbowe
Mariah mkakati wake umebuma huwezi tekwa Kenya ukatoka salama watu wanajua wanaotekwa kenya nini kinawapata Mariah umeshtukiwa!
MmmmhNingekuwa Maria baada ya kujiteka ningejiua lengo ni kuichafua serikali ya Tanzania na ya Kenya.
Yeah, ningejiua kabisa.... ..
Alijiteka vipi wewe fala?Sasa kwa nini alijiteka?
Acha ujinga dogo.bila shaka umeamka nayo kichwaniVipi nilisikia umepata ajali na pikipiki ya chama, unaendeleaje mkuu?
Pole mkuuAcha ujinga dogo.bila shaka umeamka nayo kichwani
Alijiteka vile.....Alijiteka vipi wewe fala?
(Matani)Mmmmh
Anataka lwenda ukimbizi ulaya anatafuta sababuSasa kwa nini alijiteka?
😹😹🤣 Ila humu ndani wachokozi sanaVipi nilisikia umepata ajali na pikipiki ya chama, unaendeleaje mkuu?
Kumamubuzi wewe mpuuzi kabisa rapist stupid foolMwanamke mzuri,kama Maria, anawezaje akatekwa,Jijini Nairobi na wanaume watatu wenye silaha za moto,na gari ,then baada ya Lisaa upatikane ukiwa hai na kitamu Kiko salama?
Sinema nyingine hiii tofauti ni waigizaji wakuu. Haina tofauti na zile za Nondo wa ACT.Wenye akili watambue hakuna watekaji wenye nia ovu kweli wakuchukue halafu wakuachie ukiwa safe bila mkwaruzo wala uchovu, hao Amnesty walijuaje kama sio kupewa taarifa na Sativa aliyeandaa nae huo mchongo hapa anataka kuichafua Serikali na Mbowe
Mariah mkakati wake umebuma huwezi tekwa Kenya ukatoka salama watu wanajua wanaotekwa kenya nini kinawapata Mariah umeshtukiwa!
Sinema hizi za kutafutia umaarufu kwa wafadhili. Sawa na ile ya Nondo wa ACT.Nilikuwa najua una upumbavu fulani lakini sikudhani ni kwa kiwango hiki