Mwanaharakati na mkosoaji mkubwa wa Rais Museveni, Dkt. Stella Nyanzi akimbilia Kenya, aomba hifadhi ya kisiasa

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Nana angedhani kwamba ipo siku nchi ya Kenya ndio itakuwa hifadhi la wakimbizi wa kisiasa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki? Aliyekuwa mgombea ubunge jijini Kampala(Woman Mp Seat) na Research Fellow kwenye Chuo Kikuu cha Makarere, mwanaharakati wa kisiasa nchini Uganda, Dr Stella Nyanzi, ametorokea Kenya.

Wakili wake George Luchiri Wajakoya amesema kwamba Dr. Nyanzi alivuka mpaka na kuingia Kenya 'in disguise' ili vikosi vya usalama visimnase.

Huku akieleza kwamba Dr. Nyanzi anatafuta hifadhi nchini Kenya baada ya tishio la kutekwa na kukamatwa kwake, yeye na watoto wake, kutoka kwa serikali ya rais Museveni. Dr. Nyanzi anasema kwamba watoto wake, ambao tayari wapo kwenye 'safe house' jijini Nairobi, wamekuwa walipitia wakati mgumu kwasababu ya usumbufu wa mara kwa mara kutoka kwa polisi.

Mwanaharakati huyo ameeleza kwamba baada ya kutoka jela Februari mwaka uliopita, hana hamu ya kurudi humo tena. Dr. Nyanzi alikuhumiwa kutumikia kifungo jela baada ya kufunguliwa mashtaka kwa hatia ya kumtusi mamake rais Museveni.

=======

Ugandan academic cum political activist, Dr Stella Nyanzi, has fled to Nairobi, Kenya.

This was confirmed by her lawyer, Prof George Luchiri Wajackoyah, who cited political persecution by President Yoweri Museveni's government for the move.

Dr Nyanzi, a former research fellow at Makerere University who ran for Kampala Woman MP seat in last month’s general election, arrived in Nairobi by bus on Saturday.

Prof Wajackoyah, in an interview, said she is seeking political asylum in Kenya.

“The abductions and detentions of political actors were getting closer to me; my children have been targets of police trailing. I just left prison in February last year and I don’t want to go back,” Dr Nyanzi said in a telephone interview.

She crossed the Uganda-Kenya border “in disguise” to avoid detection by security agents. Her children are also “in a safe house” in Nairobi.

The Forum for Democratic Change (FDC) candidate came third in the January 14, 2021 parliamentary elections won by National Unity Platform (NUP) candidate, Shamim Malende.

President Museveni, who has been in power for 35 years, was declared winner of the bitterly contested polls.

Opposition presidential candidate Robert Kyagulanyi, popularly known as Bobi Wine, who termed the polls as fraudulent, spent 11 days under house arrest after the January 14 elections before the High Court ordered security forces to withdraw from his home.
He has filed a petition in the country’s Supreme Court, seeking cancellation of the results.

Across the border, Tanzanian ex-MP Godbless Lema fled to Kenya with his family to escape what he termed as threats to his life, before Canada granted him asylum.

Tanzania opposition leader Tundu Lissu, who rejected the results, is also in asylum in Belgium.

Ugandan activist Stella Nyanzi flees to Kenya
 
Kenya imekuwa kimbilio la wakimbizi wakati yenyewe ilimwondosha Miguna Miguna kama gunia la mahindi, tena akaambiwa asikanyage tena Kenya. Nchi za Afrika Mashariki zijiandae na wimbi la wakimbizi, wafuasi wa Raila na Ruto washaanza kupasuana hata kabla ya uchaguzi.
 
Hakuna Mkenya yeyote ambaye ana akili timamu atakayefikiria kuikimbia Kenya na kuomba hifadhi katika mataifa yaliyoko ulimwengu wa nne kama Uganda na Tanzania. Labda awe amerogwa.
 
Mbona Dr. Nyanzi hakutorokea Tanzania, au boda ya Ug-Tz imefungwa? Miguna angekuwa mkimbizi ambaye ametorokea Canada asingekuwa anang'ang'ana kwa nguvu zote kurudi nchini Kenya.

Wewe ongeza gia tu kwenye maombi yako kwamba Kenya ifate mkondo wa kidikteta kama nyie majirani zetu. Ila nakuhakikishia kwamba utangoja sana, hayo yote tulishayapitia kwa miaka 24 chini ya utawala wa Mtukufu D.T. Arap Moi. Nyie bado mpo kwenye 'first half'.
 
Majirani mnatia aibu mjue, mnawatesa vongozi wenu wa upinzani kana kwamba sio wazawa wa hayo mataifa yenu, kosa lao kubwa ni uzalendo unaosababisha wakosoe madhaifu kwenye tawala zenu huko.

Kuweni watu wa kuskliza na kuvumilia kauli kinzani, hayo madaraka mnayang'ang'ania ila hamtazikwa nayo, wapo akina Hitler waliokua ving'ang'anizi mithili ya fisi, lakini leo hii ni mifupa tu, hii dunia kila mmoja wetu anapita tu, hata ufanye nini lazima muda wako utaisha na hautakua na budi ila kuiaga, tumeshuhudia watawala wa kiimla wengi akina Mobutu Seseko walijichimbia na kujilinda na kujihami lakini waliambulia kubaki stori za kale.
 
Ni kweli mkuu. Sote tunapita tu.
 
Dkt. Stella Nyanzi anatafuta Hifadhi ya Kisiasa Nchini Kenya akidai matukio ya utekaji nyara na kukamatwa kwa Wanasiasa yamekuwa yanamkaribia, na Watoto wake wanalengwa na Polisi.

Mwanasheria wake, Prof. George Luchiri Wajackoyah amethibitisha taarifa hizo na kudai ukandamizaji wa kisiasa chini ya Utawala wa Rais Yoweri Museveni umepekea uamuzi huo.

Dkt. Nyanzi ambaye aligombea Ubunge katika Uchaguzi wa Januari 14, 2021 na kushindwa amesema ametoka gerezani Februari 2020 na hataki kurudi tena.

=====

Ugandan academic cum political activist, Dr Stella Nyanzi, has fled to Nairobi, Kenya.

This was confirmed by her lawyer, Prof George Luchiri Wajackoyah, who cited political persecution by President Yoweri Museveni's government for the move.

Dr Nyanzi, a former research fellow at Makerere University who ran for Kampala Woman MP seat in last month’s general election, arrived in Nairobi by bus on Saturday.

Her lawyer, Prof George Luchiri Wajackoyah, in an interview said she is seeking political asylum in Kenya.

“The abductions and detentions of political actors were getting closer to me, my children have been targets of police trailing, I just left prison in February last year and I don’t want to go back,” Dr Nyanzi said in a telephone interview.

She crossed the Uganda-Kenya border “in disguise” to avoid detection by security agents. Her children are also “in a safe house” in Nairobi.

The Forum for Democratic Change (FDC) candidate came third in the January 14, 2021 parliamentary elections won by National Unity Platform (NUP) candidate, Shamim Malende.
 
Hakuna Mkenya yeyote ambaye ana akili timamu atakayefikiria kuikimbia Kenya na kuomba hifadhi katika mataifa yaliyoko ulimwengu wa nne kama Uganda na Tanzania. Labda awe amerogwa.
kwahiyo unawaambia nini hao vilaza wanaoamini watakuwa salama kwa kukimbilia hapo kenya ambako nako ni shithole kama kwingine!!!!
 
Nikipata fursa nitawashauri wakimbilie Ulaya kama vile Canada maana hapa Kenya ni karibu sana na kwenu huko, msiojulikana mna uwezo wa kuja na kuwaondolea nje nje. Mnavuka mpaka kinyemelea, mkijifanya wafugaji kisha mnaunga unga na kuwafikia na kuwaua, bora wapite tu, yule jamaa wa Arusha sasa ametulia zake Canada tena na familia yake.

Naye Tundu Lissu nafuu yake aliondoka huku amezingirwa na mabalozi wa kutokea kwa mabeberu ambao huwapa nyie misaada, hamngemgusa.
Huyu wa Uganda naye apite tu, maana Waganda huwa tumetangamana nao sana, ni rahisi sana kwa wasiojulikana wa kwao kupenya.
 
hamna mtu anashida ya kuwaua,kama ingekuwa ni mhimu sana hata huko canada angefuatwa tu.

cha mhimu serikali ya kenya isijihusishe na mambo ya watu,kama ambavyo imekuwa ikikaa kimya inapotokea swala kama hilo.
 
Hamnaa...kule wapo makini sana watu wa ze ze ze lugha itawashinda.....hehehehe!!!!
 
Nikipata fursa nitawashauri wakimbilie Ulaya kama vile Canada maana hapa Kenya ni karibu sana na kwenu huko, msiojulikana mna uwezo wa kuja na kuwaondolea nje nje. Mnavuka mpaka kinyemelea, mkijifanya wafugaji kisha mnaunga unga na kuwafikia na kuwaua, bora wapite tu, yule jamaa wa Arusha sasa ametulia zake Canada tena na familia yake.

Naye Tundu Lissu nafuu yake aliondoka huku amezingirwa na mabalozi wa kutokea kwa mabeberu ambao huwapa nyie misaada, hamngemgusa.
Huyu wa Uganda naye apite tu, maana Waganda huwa tumetangamana nao sana, ni rahisi sana kwa wasiojulikana wa kwao kupenya.
Mungiki ni zaidi ya wasiojulikana.
 
hamna mtu anashida ya kuwaua,kama ingekuwa ni mhimu sana hata huko canada angefuatwa tu.

cha mhimu serikali ya kenya isijihusishe na mambo ya watu,kama ambavyo imekuwa ikikaa kimya inapotokea swala kama hilo.
Wanywa damu nyi..MLIMUUUA BEN SAANANE....RIP BEN HERI UNGETOROKEA HUKU KWETU KENYA TUNGEKUTUNZA😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Wanywa damu nyi..MLIMUUUA BEN SAANANE....RIP BEN HERI UNGETOROKEA HUKU KWETU KENYA TUNGEKUTUNZA[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
mbona ni rahisi tu kusema fulani kauwawa na serikali??

au kuna pesa inahitajika!!
 
Huu ni kama mchezo wa duara. Wana siasa wa Tanzania 2020 wakakimbilia Kenya, 2021 ni wa Uganda. Let's wait 2022 tutaona wana siasa Wakenya nao kuikimbia nchi yao.

African Politics, African Elections
 
Back
Top Bottom