and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Yule dishi limeyumbaKuna joyce kiria pia alikua team kataa ndoa
Hivi Niki wa pili alishaoa yule mchaga wake? Sitashangaa ikiwa zakayo kashapigwa chini tayari na mikaunda suti yake1. Mwanaharati huyu Enzi za jiwe alikua na kampeni mujarabu ya kupinga Sheria ya ndoa na alifanikiwa kushinda mahakamani.
2. Sasa yeye alipoingia kwenye NDOA naona kapotea Mazima. NDOA ukiingia kiuhanarakati lazima uchechemee kama umekanyaga nnya
Mwanaharati uchwara1. Mwanaharati huyu Enzi za jiwe alikua na kampeni mujarabu ya kupinga Sheria ya ndoa na alifanikiwa kushinda mahakamani.
2. Sasa yeye alipoingia kwenye NDOA naona kapotea Mazima. NDOA ukiingia kiuhanarakati lazima uchechemee kama umekanyaga nnya
Mshedede!
Hilo limwanamke silipendi feminist la kufa mtuKuna joyce kiria pia alikua team kataa ndoa
Mwamba kama upinde vileHilo limwanamke silipendi feminist la kufa mtu
We utakuwa diaspora weweHivi Niki wa pili alishaoa yule mchaga wake? Sitashangaa ikiwa zakayo kashapigwa chini tayari na mikaunda suti yake
Nani?Mwamba kama upinde vile
PumbaHilo limwanamke silipendi feminist la kufa mtu