NA usiombe mke wako akawa na urafiki na single mother ,atafanya kila hila kuonyesha kwamba mume wako hafai ili amtoe mwenzake kwenye ndoa, ni washenzi sanaAongezwe miaka, hizo harakati zinasababisha single mothers wengi mno.
Mbona miaka michache sana kafungwa?Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".
Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kwamba Manahel al-Otaibi alihukumiwa kwenda jela tarehe 9 Januari kwa kile serikali ya Saudi iliita "makosa ya kigaidi".
Saudi Arabia activist sentenced to 11 years in prison for ‘support’ of women’s rights
NA usiombe mke wako akawa na urafiki na single mother ,atafanya kila hila kuonyesha kwamba mume wako hafai ili amtoe mwenzake kwenye ndoa, ni washenzi sana
Unakuta mtu ameachika, then anakuja kwako anataka mapenzi ya dhati. Hivi utayatoa wapi umpe?NA usiombe mke wako akawa na urafiki na single mother ,atafanya kila hila kuonyesha kwamba mume wako hafai ili amtoe mwenzake kwenye ndoa, ni washenzi sana
Saudi wanatoa adhabu za kitoto huyu alitakiwa kupigwa hata miaka 30 harakati gani za kuruhusu usagaji.Mwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".
Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kwamba Manahel al-Otaibi alihukumiwa kwenda jela tarehe 9 Januari kwa kile serikali ya Saudi iliita "makosa ya kigaidi".
Saudi Arabia activist sentenced to 11 years in prison for ‘support’ of women’s rights
Huyu anayawatetea hawa wasagaji Mama yake angekuwa hivyo angezaliwa yeye mijitu mingine mijinga sana.NA usiombe mke wako akawa na urafiki na single mother ,atafanya kila hila kuonyesha kwamba mume wako hafai ili amtoe mwenzake kwenye ndoa, ni washenzi sana
Her choice of clothing ndio usagaji?Huyu anayawatetea hawa wasagaji Mama yake angekuwa hivyo angezaliwa yeye mijitu mingine mijinga sana.
Wewe umfahamu huyu umemjua leo baada ya hii post.Her choice of clothing ndio usagaji?
Mbona unaingiza uwongo kwenye habari
Wapi amefagilia usagaji..!!Saudi wanatoa adhabu za kitoto huyu alitakiwa kupigwa hata miaka 30 harakati gani za kuruhusu usagaji.
Sisi hatuwezi kukubali sheria za kipumbavu za kiarabu kwamba mwanamke awe tu ndani ya nyumba kama mtoto mchanga, mwanamke wa kiafrika lazima atoke nje naye asaidiane na mwanaume kuitafutia familia yao riziki.Mb
Mbona miaka michache sana kafungwa?
Matatizo mengi duniani yameletwa kwa mwanamke kua huru
Aliyeleta hii dini atakuwa motoniMwanaharakati wa haki za wanawake vijana nchini Saudi Arabia alihukumiwa kifungo cha miaka 11 jela kwa siri na mahakama ya kupambana na ugaidi baada ya kukamatwa kwa "chaguo lake la mavazi na kuunga mkono haki za wanawake".
Maafisa wa Saudi Arabia walithibitisha katika taarifa kwa kamishna mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa kwamba Manahel al-Otaibi alihukumiwa kwenda jela tarehe 9 Januari kwa kile serikali ya Saudi iliita "makosa ya kigaidi".
Saudi Arabia activist sentenced to 11 years in prison for ‘support’ of women’s rights
Waarabu wengi wanakimbilia huko kukwepa sheria za kipumbavu za karne ya saba hata wewe tu hapo ulipo ungependa sana kwenda kuzamia huko ila basi ni umaskini tu ndio maana huwezi kwenda.Huyo ni pandikizi la Marekani, anataka kuleta harakati zake za kifala. Kama anaona yupo mazingira ambayo hayamfai yeye aende huko Marekani akaishi na mashetani wenzake.