Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

Attachments

  • IMG_1073.jpg
    IMG_1073.jpg
    67.9 KB · Views: 1
Hiyo ni mawazo yako, mimi nimesema she is brave. unaweza fatilia page yake insta ukajifunza mawili matatu.
Thanks but no thanks. Mimi sina cha kujifunza kutoka kwake. Wewe kama umeona ana elimu ambayo itakufaaa endelea tu.
 
Wanaharakati wa kupost twitter,

Siku zinakwenda mbio sana,

Sasa kama kupost twitter nako nikuwa mwanaharakati kina Che guevara na Fidel sijui tuwaite kina nani?rakati wa kupost twitter,
Siku zinakwenda mbio sana,

Sasa kama kupost twitter nako nikuwa mwanaharakati kina Che guevara na Fidel sijui tuwai
Che hakuwahi kuwa mwanaharakati, alikuwa "MWANAMAPINDUZI". Tofautisha.
 
Thanks but no thanks. Mimi sina cha kujifunza kutoka kwake. Wewe kama umeona ana elimu ambayo itakufaaa endelea tu.
she might be very aggressive and bit silly, lakini kuna Ujumbe kidogo kwenye maandiko yake especially katika issue ya dini. Lakini ki ukweli DINI zimetufanya watumwa.
 
ukiikosoa serikali hakikisha unakuwa uko perfect kwa kila kitu, tofauti na hapo utakuwa unajichimbia kaburi wewe mwenyewe.

wanatafita kwenye udhaifu ili wakuumize
Huwezi kuwa perfect 100%
 
Back
Top Bottom