Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
- Huyu mama amekuwa akitaka kurudi nyumbani kulifufua shirika lake la sheria kwa muda mrefu sana sasa, nijuavyo ni kwamba yuko matayarishoni kurudi nyumbani bongo kwenye shirika lake la sheria na wala sio siri among the tops, maana huwa hafichi akiwa na wakulu in private!
- Sefue is doing a great job kule haendi kokote ni dua la kuku tu!
Respect.
FMEs!
Kwa wale wanaojua government workings aliyefungua hii thread hata kama ilikuwa ni kwa nia njema basi ajue kalikoroga,Serikali huwa hazipendi mtu kuzi jumpstart.Wadau mnakumbuka yaliyomkuta Balozi Juma Mwapachu enzi za Mzee Mkapa baada ya gazeti la Rai kudokeza uteuzi wake?
Unatafutwa weweSo sick buddy! JT is costing us with his dic k....Nadhani ni strategies za kuboresha mahusiano kwa faida ya Tanzania. Mama Kichwa sana UK ilikuwa haijawahi kuwa na muwakilishi makini mwenye kutetea maslahi ya nchi yake. Ubalozi wetu UK ameubadili sana hata attitude za watendaji pale.
Usishangae, jamaa sio matatizo yake, bali ni recognition kati ya Watanzania wote mashuhuri walioko US, ukimwondoa Naibu Katibu Mkuu na mabalozi, Mzee Mwanakijiji nawe ummo!,na we una matatizo yako kati ya watu wote wa kuwasilimia umeshindwa kujizuia kutaja hili jina.. haya akija na miye nitamsalimia.
Unatafutwa wewe
.Hivi ile sheria inayowapa kikomo wafanyakazi kwenye balozi zetu wasikae zaidi ya miaka kadhaa huko nje unafuatiliwa kweli au basi ni sheria butu ambayo kila moja ana haki ya kuidharau?
.Kwa wale walisoma Sheria UDSM wanamjua na pia sijui kwanini JK aliamua kumteua mdogo mtu na sio dada yake?
.
Dada mtu ni kichwa cha ukweli, alipokuwa akifundisha UD, Investment Law, alisema wazi kwenye sheria real money lies in contracts na legal opinion na sio kwenye litigations.
Alijitolea pesa yake mfukoni kuprint madesa ya somo lake na kuyagawa bure, wakati walimu wengine wakitoa desa kwa ma class rep wanayapeleka kwenye vile photocopy na wanafunzi wanalipia.
Kuna reshuffle ya mabalozi. Balozi Mwanaidi Maajar kuhamishiwa Washington, Kuchukua nafasi ya Balozi Sefue.
More to come
Kwa hiyo kazi yake kubwa ilikuwa ni kusimamia Chama ama Serikali?.Je Uk alikuwa anawawakilisha wana CCM au Watanzania wote bila kujali chama?.Je hakuna wanaupinzani Uk waliohitaji huduma yake?.Basi kama alikuwa akisimamia chama basi hafai kuwa Balozi.
Nawakilisha
Ml,In two years time, Shirikisho la Afrika Mashariki litakapoanza, Jamhuri ya Afrika Mashariki itakuwa inawakilishwa na balozi mmoja. Hii itasaidia kutupatia wawakilishi mabalozi kila mahali, na pia itapunguza gharama!
Bring it on EAC!
na we una matatizo yako kati ya watu wote wa kuwasilimia umeshindwa kujizuia kutaja hili jina.. haya akija na miye nitamsalimia.