Mwanaidi Sinare Maajar - Balozi Mpya Marekani


Well said Masanja,

Nadhani huku ni kukosena kwa vision ndani ya wizara ya mambo ya nje

Balozi wa tanzania nje ya nchi anaiwakilisha tanzania,kusimamia maslahi ya watanzania na nchi yake wakati huo huo akiimarisha uhusiano baada ya Tanzania na nchi mwenyeji.

Balozi wa Tanzania anaongoza Mission ya tanzanio huko aliko.Sasa mission ya Tanzania na sera zake towards Uk ama US ni nini?

Ni kwa nini Balozi anaruhusiwa kujiingiza katika mambo yanayokinzana na mission yetu nje ya nchi?Nadhani wizara ya Mambo ya nje kama kweli wao ni professionals watoe tamko kuhusu hili kwani kazi za kufungua matawi ya kisiasa zinakinzana na mission ya Tanzania uk kama vile kuunganisha na kusimamia maslahi ya watanzania nje ya nchi.

Leo hii wakijitokeza Watanzania waislam nje ya nchi wakaanzisha chama chao halafu wakamkaribisha balozi kufungua chama au tawi lao kwa kuwa ni muumin itakuaje?

Na je kabila la huyo Balozi,let's say wachagga au wapare wakafanya the same thing itakuaje?So lengo la ubalozi ni kuunganisha watanzania wote.sasa mambo kama partisan,ethnicity,religion ideology etc yanakinzana na mission yetu nje
 
nyie wote mlioongea kuhusu huyu mama na matawi ya chama nadhani mnamuonea au hamjui msimamo wake hasa..yeye yuko so explicit kuhusu itikadi na anaongea wazi yeye haungi mkono chama chochote ila katika kuendeleza utanzania anajikuta yupo katikati ya hayo makundi mnataka afanyeje?kuna tawi gani la chama limefunguliwa mkamkuta yeye ni mgeni rasmi?udhaifu wa itikadi zingine hauwezi kumfanya yeye asitishe kazi yake ya kuwatafuta watz popote walipo...Baniani mbaya kiatu chake kibaya?viongozi wa juu wanatembelea UK na bahati mbaya wanaiikadi atawafanyaje awaache waende peke yao?na akifika huko anatambulishwa kama nani kiongozi wa chama au Balozi?lazima tuyaone hayo mambo kwa mtizamo tofauti.mi nadhani tum-doubt kwamba ameweza kwa kiasi gani kuwaunganisha waTZ kama inavyoongelewa maana hata mimi nashangaa hizo sifa kama zina data yeyote ya kusupport?
 

Bambo you have nailed it down! Binafsi namkubali sana huyu mama, very smart up stairs! Nadhani ni miongoni mwa wakina mama shupavu tuliowahi kuwanao kwenye uongozi tokea tumepata uhuru!! Bal Majaar anajua nini anafanya. Hawa CCM hawana sera wanamtumia huyu mama kwa kujikweza kwao. Mwanaidi is always down to earth ameondoa ukiritimba wote ulikuwepo pale balozini, kuonana na huyu mama hakuwa anahitaji appointment....Mh Kikwete kwanini usimpe uwaziri mkuu huyu mama? what is Mh Mizengo Peter Kayenze Pinda doing? Hongera mama Majaar nyota yako inazidi kung'aa, imalisha mahusiano mazuri na US.
 
Mama kapelekwa USA kuimarisha ubalozi kama aliyofanya hapa UK. Katuunganisha watanzania vizuri kupitia TA-UK. Ni mwakilishi mzuri wa Serikali iliyopo madarakani...

Big up Mama


Regards
 
OK enough of these praisal to this 'mama' lets face it ni wachache mno ndio wenye access pale ubalozini na nuksi bado wamejazana mule ndani roho mbaya tu.

Na haya mambo ya kumpa credit kwa kujumuisha watanzania huko aendako sijui kama atafanikisha im 100% sure it wont be the same.

Kwanza lazima tuwe wakweli kazi kubwa zimefanywa na ma jemedali zake nazungumzia mwenyekiti na propaganda zake za sherehe za ajabu alizo kuja nazo sijui muungano, kuzaliwa kwa CCM na unafiki mwingine alio uleta. Na yule dada wa Reading with tireless work kufungua matawi na sherehe za kuyafungua.

Hawa jamaa hawakufanikisha hivi vitu kirahisi ni very sly people who know how to pretend particularly mwenyekiti wetu. Ambae personally namfanisha na kinyonga kwa kujigeuza hili kuuza propaganda zake sasa unless hawapate the same type of people huko kuuza hizo propaganda zake i doubt, kazi kubwa ilifanywa na wengine na vipaji vyao vya unafiki.

Na ubalozini ni ushenzi mtupu, sio yeye mama ila baadhi ya wafanyakazi wake wengine.
 
Huyu Sifue afadhali anaondoka sijaona,aliniudhi wee unakula kipusa alafu unampa madaraka.Kipusa kamuingia balozi kwa gia ya ulokole bwana asifiwe nyingiii.
 
Balozi wa tanzania nje ya nchi anaiwakilisha tanzania,kusimamia maslahi ya watanzania na nchi yake wakati huo huo akiimarisha uhusiano baada ya Tanzania na nchi mwenyeji.

Balozi wa Tanzania anaongoza Mission ya tanzanio huko aliko
.



....by the way, a bit out of context, but relevant still.... Is a well acredited diplomat, career or otherwise representing Tanzania accordingly ACCEPTABLE?

Otherwise, also wondering: Could a Tanzanian having the undermentioned qualities pinned onto his lap deemed fit for Ambassadorial post in some country?
1: A senior civil servant heading a key branch of the executive
2: Learned, though through mature entry system...not a victim of Musoma resolution, but rather, rising from certificates levels
3: Performance at work defying known ethics
4: Abhorently and Openly Corrupt. A celebrated FISADI as well
5: Nomination for Ambassadorial post turned down by more than one country upon his/her name being suggested
 
Hivi nini kazi ya balozi / ubalozi?

What if tusipokuwa na ubalozi?

Faida gani, zaidi ya kupunguza gharama, pale balozi mmoja wa EAC atakapoanza kutuwakilisha nchi zote hivi karibuni, kama ambavyo mikataba ya EAC inavyosema?
 


Bwana Bambo,watu hawawezi kuandika hapa bila ya facts.
Kwenye mnuso wa juzi Reading,Balozi MAAJAR na MALECELA walihudhuria na kutoa kadi za CCM kwa wanachama wao.Sujui unataka proof gani ujue huyu Mama alikuwa ni balozi wa CCM Uingereza?
Nafikiri tangu awe Balozi,yeye na mume wake walikuwa ndio makinara wa kufungua.

Mr Maajar alikuwa OLIVET TAMBO wa ANC miaka ya 1960-1990 alipofungua matawi kama 27 ya ANC western world!baada ya multiparty democracy yote yalifungwa.
 
Hivi nini kazi ya balozi / ubalozi?

What if tusipokuwa na ubalozi?

Faida gani, zaidi ya kupunguza gharama, pale balozi mmoja wa EAC atakapoanza kutuwakilisha nchi zote hivi karibuni, kama ambavyo mikataba ya EAC inavyosema?

Mlenge haya maswalii ninauliza na sijawai kupata siju.

1.Kazi za balozi wetu wa SA zinatofauti gani na za balozi wetu China,na balozi wa china ana tofauti gani na yule wa USA na UK hivyo hivyo na kenya?
watasema balozi anasimamia maslahi. Can any one be specific kwa mifano kwa nchi hizi chache nilizotaja( Kenya, USA, China,UK, RSA)

2. Naona kuna watu wanaponda wengine kusifia sasa watuambie wanatumua vigezo gani

3. Je tanzania tuna utaratibu wa maximum stay ya balozi kituoni

4. Kwa nini tanzania haina mahusiano ya kibalozi na israel?
 

Naona dua la kuku limempata mwewe...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 

h 126,
Hapa naona umechanganya Madawa!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…