Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
The biggest PROBLEM I have na huyu mama especially alipokuwa UK..ni hii kuendekeza U-CCM sana. Everything was about CCM. Thats why unaona kabisa watu wengi...(like minded..??) wanalose interests na hizi balozi. Maana wengine..we are simply tired of politics za nchi yetu through CCM. Wanataka kuona tunayatafuta maendeleo kwa udi na uvumba. Sasa hata kiongozi wa serikali akija..utakuta watu wamevaa sare za CCM! ..Damn!!
Kuna aliyesema kwamba mume wa balozi ndo alimponza mama kwa kudhania kwamba anawakilisha CCM baadala ya serikali yetu. Perhaps Membe aangalia namna ya kuwa-keep busy ma-spouse wa mabalozi! Itasaidia hawa jamaa kuwa na shughuli productive ....
Angalizo: Sipingi wanachama wa CCM kuwa na shughuli zao za kichama. Tatizo langu linakuja pale ambapo watendaji wa serikali wanajikuta wakiwa busy na shughuli za chama.
Otherwise, mama Maajar namtakia kila lakheri katika kituo chake kipya cha kazi.
Well said Masanja,
Nadhani huku ni kukosena kwa vision ndani ya wizara ya mambo ya nje
Balozi wa tanzania nje ya nchi anaiwakilisha tanzania,kusimamia maslahi ya watanzania na nchi yake wakati huo huo akiimarisha uhusiano baada ya Tanzania na nchi mwenyeji.
Balozi wa Tanzania anaongoza Mission ya tanzanio huko aliko.Sasa mission ya Tanzania na sera zake towards Uk ama US ni nini?
Ni kwa nini Balozi anaruhusiwa kujiingiza katika mambo yanayokinzana na mission yetu nje ya nchi?Nadhani wizara ya Mambo ya nje kama kweli wao ni professionals watoe tamko kuhusu hili kwani kazi za kufungua matawi ya kisiasa zinakinzana na mission ya Tanzania uk kama vile kuunganisha na kusimamia maslahi ya watanzania nje ya nchi.
Leo hii wakijitokeza Watanzania waislam nje ya nchi wakaanzisha chama chao halafu wakamkaribisha balozi kufungua chama au tawi lao kwa kuwa ni muumin itakuaje?
Na je kabila la huyo Balozi,let's say wachagga au wapare wakafanya the same thing itakuaje?So lengo la ubalozi ni kuunganisha watanzania wote.sasa mambo kama partisan,ethnicity,religion ideology etc yanakinzana na mission yetu nje