Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

Kweli mama anaupiga mwingi kiasi cha kusukwasukwa na kumwagika.
 
Kwanini wao wabunge wanajilipa zote hawabakiwi hata na senti 5?
 
1. Uhalisia wa fomula ya zamani kwa pssf ukoje, maama mtu anachangia 30m anapewa mkupuo 45m na monthly pension.

2.Hii mifuko haiendeshwi kisiasa.
Kiongozi wenu ZZK alikuwa mwenyekiti wa PAC miaka kumi na mwenyewe ni mfaidi wa ufisadi wakati wa Dau, wajumbe wa board akiwa mwenyekiti kaboyonga, mjumbe assad(ambae alinunua nyumba za nssf Tanga Kifisadi) na zzk kampuni ya lake tagete(nikikosea nisamehe) alichota pesa na pia akashiki ufisadi mkubwa wa stand ya kigoma kununua eneo ambalo hadi leo liko tu, mbona yeye alikuwa anaona yanayoendelea na hakufungua mdomo kuelezea hali ya mifuko.
 
Suluhisho ni lipi? Nyinyi mko serikalini mnaunga mkono sera za CCM, usaidizi wenu uko wapi kwa hili? Inawezekana wewe unaona mapungufu ya CCM na kuwpo haja ya marekebisho, lkini Kiongozi wenu mkuu ni ndumila kuwili! naye ni sauti ya mwisho.
Kapewa ajira ya miaka 9 sahivi hasikii chochote
 
Watumishi wote walio ngazi za juu hata za chini, kama hamuikatai CCM mtaishia kunyanyasika uzeeni mkistaafu.
Kataeni hilo dude sasa na kwa nguvu zote
 
Ukweli ni kuwa, Serikali inatamani Sana watumishi wanapokaribia kustaafu wafe ili irithi hizo fedha, hata ukistaafu wanatamani ufe haraka kwa kukupa fedha kidogo ili kama hukujipanga ndani ya Mwaka mmoja tu parapanda inaimbwa.

Wanaofanya maamuzi haya kwa Sheria hii haiwagusi kabisa.
 
Shida watumishi wenyewe darasa la saba
Wewe profesa uliyefundushwa na hao darasa la saba siyo? Kuwa na heshima Kwa waliokuwezesha kufika ulipo dogo, otherwise unaisaka laana ilikolala!
 
Wewe profesa uliyefundushwa na hao darasa la saba siyo? Kuwa na heshima Kwa waliokuwezesha kufika ulipo dogo, otherwise unaisaka laana ilikolala!
Sijawakataa ukiwambia waandamane hawawezi ndomana wanapelekwa tu wastaafu wote wasasa na watarajiwa mikaka 7 ijayo ni upe upe wote ,ukiwambia kitu hofu tupu
 
Sijawakataa ukiwambia waandamane hawawezi ndomana wanapelekwa tu wastaafu wote wasasa na watarajiwa mikaka 7 ijayo ni upe upe wote ,ukiwambia kitu hofu tupu
Dogo, Kuna vitu vingi Sana huvielewi katika nchi hii. Viongozi wote namaanisha wote wa vyama vya wafanyakazi ni either maofisa vipenyo na wengine no mainformer wa tiss.
Hii maana yake ni kuwa wafanyakazi wakiwa na lengo la kuandamana au kugoma viongozi wao wanawasaliti Kwa kufikisha ujumbe kwenye Dola na Dola inajipanga kutisha na au kuwakamata wahusika wachache ili kufifisha mgomo au maandamano.
Huo ndio ukweli kuwa ccm imepandikiza mamluki wake na wanafiki kwenye vyama vya wafanyakazi ili kuwanyamazisha ndio maana unasikia wachache waliopo kwenye kihenge wanahomola TU ma kujijenga ilihali walio wengi ndio wanatarajia kutaabika na kufa mapema.
Mungu pekee aingilie kati kuwafyekelea mbali mabazazi hayo yaliyoshiriki kuileta na kuibariki sheria hiyo mbovu Dunia nzima akianzia na Jenister Mhagama aliyeiasisi ikimpendeza Mungu amuwahishe kabla ya kupata mafao yake na hata akiyapata watoto wake wakayatapanye na kuuza Kila alichokipata kikashindwe kustawi kikafilisike!
 
Hivi hiyo mishahara minono ya miaka mitatu inakuwa na maana gani hasa?

Kwamba, matarajio ya wengi ni kuwa, mshahara unakwenda ukikua kadiri unavyozidi kukaribia kustaafu, kwahiyo uwezekano wa mshahara mnono kuwa ni ule wa miaka 3 ya mwisho.

Ikitokea, miaka hiyo 3 ya mwisho ikawa napokea kidogo kuliko miaka iliyotangulia, bado watasimamia kwenye ile minono tu?
 
Pole yako Sana karatasi lako limeliona
 
Mara sijui Mara mungu aingilie Kati Kama watumishi wenyewe mmekalisha tu huko Nani awapigie kelele nabado hamukawiagi kuazisha magroup yanayounga ccm mkono
 
Waongeze Umri wa Kustaafu iwe 75 Ili Wengi wafie kazini wasilipe Pensheni.
 
Waongo wakubwa!! Lengo lenu ni kutaka kujinasua kisiasa kwa kutumia hoja ya kikokotoo. Kwani kikokotoo hiki kimeanza leo kufanya kazi?? Tangu hiyo 2018 kikokotoo hiki hiki kimekuwa kikitumika kulipa mafao ya watumishi wote wa umma waliokuwa wanachama wa PPF na NSSF kabla ya kuanzishwa kwa PSSSF. Je muda wote huo ACT eti "wazalendo" mlikuwa wapi kutetea?
 
Hii kanuni ndio inatumika siku zote huko NSSF mbona zito alikuwa m-zito sana kuizungumzia toka enzi za swaiba wake DAU!!
 
Waongeze Umri wa Kustaafu iwe 75 Ili Wengi wafie kazini wasilipe Pensheni.
Hilo nalo ni neno japo ni neno mufilisi!! Vijana wataandamana!! La muhimu hata viongozi wa kisiasa wastaafu na miaka 62!! Kwenye siasa wamejaa wazee, hii si sawa!! Hata kiti cha juu kabisa kinakaliwa na mtu ambaye alipaswa kuwa ameshastaafu miaka miwilim ilityopita!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…