Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

CWT na TUCTA wote ni manyani na wezi wakubwa yanaiba fedha za watumishi hayana msaada wowote kwa watumishi.
 
Ni kweli Kabisa
CWT na TUCTA wote ni manyani na wezi wakubwa yanaiba fedha za watumishi hayana msaada wowote kwa watumishi.
Kweli Kabisa. Baada ya kugunduliwa Udhaifu wao wanatumika kuonea Wazee Watarajiwa Wastaafu. Ngoja tuwashauri waombe Msaada ILO na Help Age International. Wanaweza kupaza Sauti zao wakasikika
 
Hata hizo posho wamejiwekea wenyewe.taasisi nyingi hazipati OC zinaambiwa zijilipe from their own sources.kwa mantiki hii ni taasisi chache ndo zitakazomudu kulipa hizo posho.walimu hawana safari na hata OC hawana kama ipo basi ni kiduchu kwa ajili ya maafisa elimu tu hao watajilipa kutoka wapi.sekta ya afya hoi OC ni za kuvimba hivyo hizo posho haziko ni kufanywa tu.
 
Kwenu Jehanam!
 
Heri yako wewe hautakuwa Mzee. Wala huna Wazazi Wazee. Bado unaota jino la 32!!
 
Wafanyakaz iben haswaaaaa lkn hiz kikokotoo wangeangaliwa na wale wa private sectors mtu analipwa laki Moja na hamsin kwa mwez kafanya kaz miaka 10 kwenye nssf anayo milion 2 bado unamlipa asilimia 33% aibuuu
 
Ni kweli tupu
 
Wafanyakaz iben haswaaaaa lkn hiz kikokotoo wangeangaliwa na wale wa private sectors mtu analipwa laki Moja na hamsin kwa mwez kafanya kaz miaka 10 kwenye nssf anayo milion 2 bado unamlipa asilimia 33% aibuuu
Yaani ni mambo ya ajabu sn
 
Ina maana baada ya miaka 12 na nusu hata Kama mstaafu Yuko hai pensheni inasitishwa?
 
Mimi naamini kwa hili TUCTA wamehongwa ili wakubalieni na maamuzi haya ya kumpora mfanyakazi mafao yake!
 
Mimi naamini kwa hili TUCTA wamehongwa ili wakubalieni na maamuzi haya ya kumpora mfanyakazi mafao yake!
TuCTA ni Janga la kitaifa. Ni likundi Cha Wachumia Tumbo siyo Watetezj wa Wafanyakazi. Ningekuwa na Uwezo ningemfufua Magufuli aliyeona Ubaya wa Kikokotoo na kukitupilia mbali hadi 2024. RIP JPM.
 
Huwa Sipendi vyama vya kutusumbua mitandaoni. Kama Chama, sikuona Press yenu wakati wa mjadala wa Budget kukemea hayo yote. Budget imepita ndio Kelele mitandaoni.
 
WANAOPINGA FAO LAKUJITOA
Mungu awape magonjwa yasiyotibika, mfe vifo vibaya, mkachomwe moto kwa kutuibia pesa zetu.
figo zenu zifeli
mfe kwa kisukari.
 
Sisi site tunaenda kuangamizwa na kikokotoo kipya ambacho nia take ni kunyang'anya akiba ya mwisho ya mtumishi Wa chini(Maana Wabunge/Watawala wao wana Gratitude Benefits).Sheria hii ni mbaya sana,inaenda kuwaathiri wastaafu,wategemezi,waajiriwa wrote na kizazi cha wanafunzi,wanavyuo moja kwa moja au baadaye.Tusipoikataa tumekwisha.
Kuna swali ambalo nimekuwa nauliza ila sijawahi kupata jibu.Mifuko ya hifadhi ya jamii ni Mali ya serikali?Je,kusingekuwa na mifuko hii serikali na waajiri wengine wangelipaje pensions?
Serikali kama mwajiri anachangia kwenye mifuko sawia na watumishi ili ziwasaidie Uzeeni.Swali:Mifuko ya hifadhi ya jamii inaongezewa jukumu LA kutunza fedha za wastaafu?Je,kutakuwa na Riba ya hizo amana?Mstaafu aliyejinyima na kulitumikia Taifa lake lakini akistaafu anaongezewa stress za kupunjwa mafao yake?Rushwa na wizi vitashamiri sana!
 
Nchi hii ni ya kishetani kuliko shetani mwenyewe. Inakuwaje pesa ambazo mtu amekatwa kwa miaka chunu nzima zihifadhiwe na WAPUMBAVU fulani halafu wawe wanazitoa kidogokigogo kwa wastaafu? What a rotten country! This country is governed by a bunch of twits!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…