Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

Hivyo VYAMA ulivyotaja huwezi kuviongoza kama wenyewe hawajakutaka.. Hata zile RISALA za MEI MOSI huwa ni maigizo tu pale yaani kutimiza SCRIPT, maana kitakachosomwa kilishajulikana kwa atakayesomewa na majibu tayari msomaji anakuwa nayo tayari...
Umesema kweli tupu! Waigizaji tu! Mapimbi makubwa hawa!
 
Umesema kweli tupu! Ni wapumbavu na majizi makubwa Sana!
 
Daaaah hawajakusikia Mwanaisha Kikokotoo Kiko pale pale. Tena wanatoa haraka sana. Miezi 2 baada ya kustaafu tayari😭😭😭😭😭
 
Act Wazalendo mliishia Wapi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…