Mwanajamvi King Kong III huko wapi

Haaaaa Haaaaa yule wangu Hana shida mtoto mzuri mzuri lazima apate dawa yake
Ila mnatia shombo kwenye thread za watu banaaaa.
Kiwanja chetu cha mpira mmekiharibu mkaanza kujenga kiwanja chenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule mwanamke ananitafutaga sana sasa leo kanipata
Msiwe hivyo banaaa, wanawake ndio walimu wa jamii, sasa nyinyi mnatufundisha nini?
Tunataka tuone upendo kutoka kwenu, maswala ya ugomvi waachieni sisiemu na chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…