The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuka
Huyu mwamba kapotea sana kabla hata ya Corona. Yuko wapi?
Mioyo yetu wiki hii imetulia baada ya BAK kurudi jamvini.
Kuna pia Kisu Cha Ngariba long time sana haonekani akina Beira Boy (London baby). Kuna pia NAMTUMBA .
King tulikuwa tunataniana humu anachoma mkaa minjingu.
Hope he is doing well and fine.