Mwanajeshi Comando mmoja wa DRC aivamia Rwanda

Punguza jaziba kaka! usiwe kama alie leta taarifa,bangi sio kitu vijana muache tu. unaingia nchi ya watu unapiga risasi hovyo eti umekua komando kwa kua umevuta bangi!.
Itendee haki keyboard yako: Jazba iko wapi, na kwanini bangi uvute wewe kisha usingizie bangi kwa wengine, vile wewe ni mtoto wafikiri wote unaokutana nao ni vijana, unaonaje ukijadili hoja badala ya ku attack "posters"?, yaonesha hujui hata Geograph na anthropology ya eneo linalozungumziwa. Nakukumbusha tu kuwa hakuna mwanajeshi wa DRC anayesogelea mpaka wa Rwanda na hakuna Baracks za DRC hapo. Usilete story za vijiweni
 
Huyo ni solder tu na sio komandoo
Komandoo hatumii mbinu hizo
Huyo kwa tz ni kama jkt wa miez 3 tu bado anahasira na hamu ya vita huku hajajua matumizi sahihi ya silaha
Atakuwa "mgambo"
 

Fuata hiyo link. Bahati nzuri alishuti video alikua Rwanda side. Tazama kwa umakini circle utaona dead RDFs
Hahahhh! Fortunately hawakufa, walipelekwa hospital nawako sawa saa hii…
Huyo kichaa ndiye alipasuliwa kichwa.
 
Huyo ni kilaza asiye na muelekeo.
huez fananisha wacongo na wa ukraine labda uwe chiz , wacongo Hawajielew ila wa ukraine wanapambana na Giant
 
Halafu bado kuna wa Congo wanashangilia uvamizi wa Russia !
 
huez fananisha wacongo na wa ukraine labda uwe chiz , wacongo Hawajielew ila wa ukraine wanapambana na Giant
Utumwa wa kifikra mbaya sana leo unaona waafrica wenzako DRC hawajielewi ila watu weupe wa ukraine ndio wanajielewa?
 
Hao ni makomando kama wa kule kwetu ambao huvunja tufali kwa mkono na kubeba mabegi mazito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…