Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.

Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu



Screenshot 2024-01-22 230739.png
 
daah huyu mjeda anahatarisha maisha ya watu aisee haoni kama ataemda kusababisha ajali yaan gari inatembea unampga dereva hivi[emoji24][emoji24]
nimejikuta nalia aisee inaumiza[emoji24][emoji24]
Afu mnataka bangi ziruhusiwe kuvutwa kama Jamaica & Afghanistan kwa akili hizi za kulia lia kwenye kila uzi, si madishi yatawalemea Madaktari kuyaseti upya kila siku?

Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wa dar wanazingua sana,uwakute sasa na vibukta vyao asubuhi wanakimbia pembezoni mwa barabara,na vifua kama njiwa,utadhani wapo serious [emoji3][emoji3],gari zima wameshindwa kumkalisha huyo mpuuzi.
[emoji23][emoji23] alafu kuna alie kimbia hapo ndani ya gari kavaa shati nyeupe [emoji23] nahisi alitamani kutokea dirishani
 
Back
Top Bottom