Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Tukio la kawe mwanajeshi kupigwa kisu na kufa halijawafunza wanajeshi .Raia nao ni binadamu kuna muda hawezi ona hilo Gwanda...
Kabisa, uvumilivu wa uonevu huwa una mwisho,kwenda jeshini wasijione kuwa wako juu ya kila mtu...anaweza hata kuchezea bisibisi ya macho akawa kipofu daima na kazi yenyewe ya uanajeshi ikamshinda. Dunia ndogo hii tuishi kwa usawa
 
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.

Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu

View attachment 2879924
View attachment 2879925
Hao madereva wa daladala wanadharau Sana.. sishangai kupokea kichapo namna hiyo

Alafu na Wewe mleta Uzi Gari kilikuwa limesimama ika dereva kuonesha dharau akawasha
 
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.

Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu

View attachment 2879924
View attachment 2879925
Namuunga mkono mwanajeshi tena huyo dereva wa daladala ni muhuni
 
Come on man!

Kwa nini baadhi ya watu ni waoga hivyo?

Why not fight back?

Huyo mwanajeshi naye ni binadamu tu kama wewe.

Akikurushia ngumi nawe mrushie. Na ikimpata kwenye taya anaenda chini tu kama watu wengine.

Watanzania wananiangusha sana aisee.

I wish one of these niggaz would try me one day…..
 
Back
Top Bottom