Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
visungura, dabo kiki na bangi bosi. Alikunya na kombucha kopo 2.chanzo ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
visungura, dabo kiki na bangi bosi. Alikunya na kombucha kopo 2.chanzo ni nini?
Sawa, jidanganye jichanganye.Violence is never an option, hata kama dreva daladala ana kosa acha sheria zimuwajibishe sio Kwa kipigo. Huyo wanajeshi kwangu mm angekuwa anachimbiwa kaburi mda huu
Wanaboa hasaILa jamani daladala wanaboa,kwa wanaondesha magari DSM watanielewa.Sometimes inahitajika emotional tolerance kubwa sana kudeal na hawa watu,Hvhv unapata kesi kama ya Ditopile.
Mbona haya ni mazoezi ya Skauti nikiwa sekondari..... 🤣
Kapigwa kinoma kakimbia na funguo ya hiyo coaster ila shati imechanika chanika, watu walimrukia kiroho mbayaNaskia kala vitasa mpk mtaroni na nguo kachaniwa haikua kinyonge
Tatizo tulilonalo Jf ama jamii ya mitandao ni kuhukumu kwa maelezo ya upande mmoja.Kabisa, uvumilivu wa uonevu huwa una mwisho,kwenda jeshini wasijione kuwa wako juu ya kila mtu...anaweza hata kuchezea bisibisi ya macho akawa kipofu daima na kazi yenyewe ya uanajeshi ikamshinda. Dunia ndogo hii tuishi kwa usawa
Siyo kila Askari wa JWTZ anatembea na pistol.Mzee utaongea tu kirahisi.....hawa wanatembea na Mguu wa Kuku anaweza kukufyatulia ukaondoka.
Bora ampige mabao tu lakini asije mtu poteza maisha.
Sana sana anataka kutimiza haja ya hasira zake mbele za watu
hawa jamaa wanjitutumua sana,lakiniwakistaafu utashangaa,,,wanasinyaa kama mboo ya m2 mwenye kisukari!!!!Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.
Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu
Guilty ya raia wema waliowaua na kuwapa kilema na kuwaumiza lazima iwatafunehawa jamaa wanjitutumua sana,lakiniwakistaafu utashangaa,,,wanasinyaa kamba mboo ya m2 mwenye kisukari!!!!
Kwaiyo?
Grow up.Chukua Time...
Grow up.
Askari wa Jeshi la Tanzania ni matatizo sana.Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.
Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu
Unaonekana upo kwenye puberty mkuu ndio maana una mihemko sana.raia mpigwe tu na wanajeshi kwani hakuna namna. mmezidi mazoea ya kipuuzi acheni mnyooshwe nao