Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Madereva wa daladala acha wafundishwe adabu,hua wanakera na kujifanya wanajua uhuni wa mjini

Askari yupo sahihi kumpa kichapo,wengi wa hawa madereva hua ni wajeuri,hawana heshima wala ustaarabu

Safi sana Askari

Huyo mjeda kumbe ni shoga bhana wanampakua vitani wenzake wakizidiwa. Ndo maana kabondwa na yeye
 
Mimi nachojua Wanajeshi wengi nguvu hawana watu wanawaangalia kwa sababu wakipigwa wanakimbilia Kambini kutoa taarifa kila jamii ingekua inategemea kampani nadhani ambao wangeathirika sana ni Wanajeshi kwa kuwa wao wapo kwenye sare ni vile Watanzania wengi wastaraabu wanadharau matukio ya namna hiyo ila wapo baadhi hawapendi ujinga kama yule bwana mdogo wa kawe aliemuua Mjeda akiwa na familia yake ndio mambo hizi hizi...wanakosea sana kutumia kazi kuonea Raia pana watu huwa hawapigwi..
 
Watanzania tunaishi maisha ya kinafiki sana, humu hakuna asiyejua dharau na fujo za madereva daladala, lakini kwa unafiki wengi watachangia huku wakibase upande wa dereva kuwa ameonewa, wakati hawajui upande wa pili wa shilingi.
Violence is never an option, hata kama dreva daladala ana kosa acha sheria zimuwajibishe sio Kwa kipigo. Huyo wanajeshi kwangu mm angekuwa anachimbiwa kaburi mda huu
 
Shida ni ujuaji , wabongo hasa madereva wa dalala, bajaj na bodaboda
 
Uwe unajibu maswali yule mpambe hua anavaa nini Ile dela? Umesema mpambe TU sio mtu wa Jeshi yaan mbeba mikoba ya Rais sasa mboni wanamvalisha gwanda la Jeshi?
We jamaa ni una ubishi wa kizee,yule ni mwanajeshi tena mwenye cheo cha kanali.Ila kazi anayofanya pale ni Upambe (Aide de campe),habebi silaha yule,Labda neno Upambe linakupa shida kutokana na tafsiri yake kwa kiswahili.Alafu lazima uelewe officer mwenye hiko cheo hawezi kufanya kazi ya ulinzi ndo maana anaitwa mpambe.
 
ILa jamani daladala wanaboa,kwa wanaondesha magari DSM watanielewa.Sometimes inahitajika emotional tolerance kubwa sana kudeal na hawa watu,Hvhv unapata kesi kama ya Ditopile.
 
We jamaa ni una ubishi wa kizee,yule ni mwanajeshi tena mwenye cheo cha kanali.Ila kazi anayofanya pale ni Upambe (Aide de campe),habebi silaha yule,Labda neno Upambe linakupa shida kutokana na tafsiri yake kwa kiswahili.Alafu lazima uelewe officer mwenye hiko cheo hawezi kufanya kazi ya ulinzi ndo maana anaitwa mpambe.
Sasa kuna mwenzio anasema yule sio Mwanajeshi Ila ni mpambe TU yaan lile gwanda amevaa km pambo tu la kwendea kwenye kitchen party, wewe unasema ni Mwanajeshi mwenye Cheo cha Kanali alafu unaboronga zaidi kwa kusema hawezi kufanya kazi ya Ulinzi, hivi unaelewa unachokiandika kabla ya kuandika? Mwanajeshi mwenye Cheo cha Kanali alafu sio Mlinzi Ila ni mpambe TU, unaelewa maana ya Mwanajeshi ni nini au unajiandikisha tu? Kazi ya Jeshi ni nini km sio Ulinzi?
 
Huwezi ukavaa nguo za kijeshi na ukawa doctor au ukawa na majukumu mengine btw ufahamu wako na uwezo wa kureason upo chini sana.
Ebwana kule kuna watu wa Kada zote unazozijua wewe mpaka plumbers Ila wote ni Walinzi uwe na uelewa wale ni walinda Amani kwa maana Pana ni Walinzi unapowaona popote elewa hivyo hata km kavaa kiupambe upambe Ila elewa kazi yake sio upambe ni Ulinzi wa Amani
 
Sasa kuna mwenzio anasema yule sio Mwanajeshi Ila ni mpambe TU yaan lile gwanda amevaa km pambo tu la kwendea kwenye kitchen party, wewe unasema ni Mwanajeshi mwenye Cheo cha Kanali alafu unaboronga zaidi kwa kusema hawezi kufanya kazi ya Ulinzi, hivi unaelewa unachokiandika kabla ya kuandika? Mwanajeshi mwenye Cheo cha Kanali alafu sio Mlinzi Ila ni mpambe TU, unaelewa maana ya Mwanajeshi ni nini au unajiandikisha tu? Kazi ya Jeshi ni nini km sio Ulinzi?
Ulinzi tunaouzungumzia ni presidential bodyguard hacha umbumbumbu.uwe unasomasoma bac sio kukaa vijiweni tu
 
Attachments

  • Screenshot_20240124_093855_Chrome.jpg
    Screenshot_20240124_093855_Chrome.jpg
    204.5 KB · Views: 9
Ulinzi tunaouzungumzia ni presidential bodyguard hacha umbumbumbu.uwe unasomasoma bac sio kukaa vijiweni tu
Military unaelewa maana yake ni nini? Au umeruka hilo neno ulipokua unasoma? Uwe unatulia bodyguard ni nani sio Mlinzi kumbe? Yaan bado unajivuruga mara mpambe mara bodyguard huna pa kusimama?
 
Back
Top Bottom