Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Umepuyanga Rais analindwa na TISS, yule mwanajeshi anayeongozana na Rais ni mpambe wa Rais
Mpambe umesikia wanaenda kufanya kitchen party? Asiejua maana haambiwi maana endelea kukaririshwa hivyo hivyo

Hivi unajua hata kirefu cha TISS na unajua hao maofisa wa TISS wanatokea wapi au unafikiri wanapeana teuzi za mikoa DED sijui DC na RC unafikiri ni hivyo wanateuliwa km wenezi na makatibu?
 
Come on man!

Kwa nini baadhi ya watu ni waoga hivyo?

Why not fight back?

Huyo mwanajeshi naye ni binadamu tu kama wewe.

Akikurushia ngumi nawe mrushie. Na ikimpata kwenye taya anaenda chini tu kama watu wengine.

Watanzania wananiangusha sana aisee.

I wish one of these niggaz would try me one day…..

Huyo Dereva ni mpumbavu. Safi kabisa
 
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.

Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu

Tunasubiri kwa hamu taarifa za kuchukuliwa hatua. Watu kama hao hawafai kuwa katika hii kazi inayohitaji nidhamu ya hali ya juu na kuwa mfano kwa raia. Shame upon him!
 
Wenye vyeo vya mabegani huwa hawana shida shida inaaza kwa ma private na wenye vyeo vya mikononi tatizo sana
 
Heshima Utu ni kila mmoja anahitaji haijalishi wewe ni combatant au Civilian
Huyo PTE hajaiva kwanza askari hatakiwi kujaa nyembe
HATUFAI
"Hatutai" acha kujipa mamlaka hakufai wewe kama nani?
 
Hao Wanaume wengine kwny gari wanafanya nini hapo?
 
Daah huyu mjeda anahatarisha maisha ya watu aisee haoni kama ataemda kusababisha ajali yaani gari Inatembea unampga dereva hivi😭😭
Nimejikuta nalia aisee inaumiza😭😭
Huu ni uvunjifu wa sheria, huyu unaweza kumshitaki hata kituo cha polisi.
 
Wato wote hapo mmeshindwa kumzuia mtu mmoja anaehatarisha maisha ya zaidi ya watu 10+?

Mbona watu wanajilegeza sana ase?
 
Mpambe umesikia wanaenda kufanya kitchen party? Asiejua maana haambiwi maana endelea kukaririshwa hivyo hivyo

Hivi unajua hata kirefu cha TISS na unajua hao maofisa wa TISS wanatokea wapi au unafikiri wanapeana teuzi za mikoa DED sijui DC na RC unafikiri ni hivyo wanateuliwa km wenezi na makatibu?
Umepuyanga

Hii tukio liliwahi kutokea pale Picha ya Ndege, Kibaha mwaka jana, mimi nikiwa miongoni mwa abiria kwenye Daladala ile iliyokuwa inaenda Mlandizi, nilimind sana ingawa nilibaki kupigwa butwaa kama abiria wengine.

Huyo mpumbavu aliblock Daladala na ka IST kake halafu akaja dirishani mwa dereva akaanza kumpiga hadi akamchania Tshirt. Dereva hakuumizwa.

NB: Tatizo sio hawa wapumbavu, tatizo ni sisi raia kuwalea na kukubali wao watufanyie huu ujinga, tukijitambua watatuheshimu.
Kuna mmoja alimpiga dereva wa basi la SARATOGA kwa sababu ame mu overtake eneo Hilo Hilo la kibaha, jamaa ni majinga sana
 
Hivi wanajeshi mkiwa kwenye mafunzo huwa mna amrishwa kwamba ni lazima muwe na roho hizo?
 
Back
Top Bottom