Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Daah huyu mjeda anahatarisha maisha ya watu aisee haoni kama ataemda kusababisha ajali yaani gari Inatembea unampga dereva hivi😭😭
Nimejikuta nalia aisee inaumiza😭😭
Wabongo nao tumekuwa legelege sana. Huyo mwanajeshi ni hayo magwanda tu, hana lolote. Huyu dawa yake ni kujibu mapigo, umpige mpaka ajinyee halafu aende kuita wenzake kama ilivyo kawaida yao.
 
Msemaji wa JWTZ anase.aje kuhusu tabia mbovu iliyofanywa na mtumishi wao?
 
Wabongo nao tumekuwa legelege sana. Huyo mwanajeshi ni hayo magwanda tu, hana lolote. Huyu dawa yake ni kujibu mapigo, umpige mpaka ajinyee halafu aende kuita wenzake kama ilivyo kawaida yao.
Anavyoita wenzake wewe unakuwa umejificha uvungu wa kochi unatetemeka huku umejishika kibofu.😂😂😂
 
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.
CDF katika risala yake kwa Rais Samia H, alieleza suala la nidhamu jeshini. Na kusema kuwa kwa ujumla nidhamu ni nzuri, ila kuna baadhi ya wanajeshi wachache wenye nidhamu mbaya.

Huyu ni mmoja kati ya hao wenye nidhamu mbaya. Hivyo ujumbe huu umfikie CDF, ili huyu mwanajeshi achukuliwe sheria.
 
Anavyoita wenzake wewe unakuwa umejificha uvungu wa kochi unatetemeka huku umejishika kibofu.😂😂😂
Haya yanatokea kwa watu washamba washamba lakini siyo waelewa. Bila shaka hata wewe ni mmoja ya wanaoogopa wanajeshi. Labda kama hajipendi ndiyo ananisogelee. Hata wale makondoo mchongo wanaotembea na mizigo kama vichaa wa Tabata wakati wa maadhimisho ya sikukuu hawaniwezi.
 
Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa njia ya Miguu.

Tunaomba Mamlaka husika kushughulikia Hili na kuwaweka uwazi juu ya hatua zitakachochukuliwa kwa kamanda huyu aliemshambulia Raia ambaye ni dereva na alibeba Roho za watu

Uzuri ni kwamba huyo mwanajeshi nae kapigwa mpaka kachaniwa shati. Wa kawaida sana hawa watu. Wanachotuzidi ni ujuzi tu wa kutumia silaha za kivita ila kwenye street fight wanakalishwa vizuri tu. Nawapongeza raia kwa kutembeza kichapo kwa Mwanajeshi mzembe.
 
Wewe ni mpumbavu sanaa... yule askari naee hana akilii anadhani watu wanaogopa zile jezi za bakabaka oohoo watu washavurugwa na maisha angeweza kuuliwaa kizembe sana anastahili kupewa adhabu kalii sana kudhalilisha nguo za jeshi
Rusheni hiyo video akipewa kichapo basi
 
Haya yanatokea kwa watu washamba washamba lakini siyo waelewa. Bila shaka hata wewe ni mmoja ya wanaoogopa wanajeshi. Labda kama hajipendi ndiyo ananisogelee. Hata wale makondoo mchongo wanaotembea na mizigo kama vichaa wa Tabata wakati wa maadhimisho ya sikukuu hawaniwezi.
Safi.Maneno ya kishujaa sana.Fumba macho uombewe hata maji ya kunywa.
 
Mimi huwa nafurahia sana boda boda wakifumuliwa maana hakuna watu washenzi kama boda boda.
 
Kwani hao abiria humo ndani wameshindwa kumzuia huyo mwanajeshi aacha kujichukulia sheria mkononi? Wameshindwa kumpiga?
Watanzania wengi ni kama makondoo.

Si ajabu angeinuka mmoja na kumpiga huyo mjeshi basi naye angetupiwa lawama za kumpiga mwanajeshi.

Usijaribu kuwapamania Watanzania ukadhani watakupongeza
 
Haya yanatokea kwa watu washamba washamba lakini siyo waelewa. Bila shaka hata wewe ni mmoja ya wanaoogopa wanajeshi. Labda kama hajipendi ndiyo ananisogelee. Hata wale makondoo mchongo wanaotembea na mizigo kama vichaa wa Tabata wakati wa maadhimisho ya sikukuu hawaniwezi.
Kweli nadhani hakujui huyo ,

Wanajeshi wanabidi kujifunza hekima hasa wakiwa na RAIA
 
Back
Top Bottom