Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

Unampakaza kwa kumpakaza kwa kuwachomeni sindano ya moto sio, yaweza kuwa dawa msimpuuzeni🤔.
 
Mbona umeandika kwa kumchafua? Kwani ungeabdika kwa kupinga alichokisema kuhusu Tanzania usingeeleweka? Unadhani kwa kumchafua itaondoa alichokisema kama ni kweli alisema? Itetee nchi yetu kwa kupinga wasemayo bila kubambika makosa kwa wakosoaji wetu.
 
Nyie si ni mabingwa wa kuteka watu, nendeni na huyo mkamteke na kumpoteza kama mlivyompoteza Ben Saanane,nyambaf zenu nyie
 
Nyerere alipinduliwa Na wanajeshi Na waliomrudisha madarakani ni waingereza , kuanzia hapo alikuwa kibaraka wao tu
ya Waingereza? Waingereza??? Je wewe mzee sana anayeamini bado London ni kitovu cha Dunia? Jamani!
 
Aisee huyo jamaa kumbe nimemzidi miaka 10. Nilijua ni age mate. Dah! Kweli tushazeeka.
 
McAllister aliposema vyama vya upinzani Tanzania vinaonewa kwa viongozi wake kuwekwa ndani na kuzuiliwa kufanya siasa, kwako ni HABARI ya uongo inayolichafua Taifa? Una kiwango duni sana cha kuchambua Mambo.
 
Mzungu hajawahi kuwa rafiki wa Muafrika wakati wewe uliyeathrika na ukimwi kakuletea ARV uishi. Unataka urafiki gani?
 
ya Waingereza? Waingereza??? Je wewe mzee sana anayeamini bado London ni kitovu cha Dunia? Jamani!

Mimi naamini Mzungu hawezi ku risk askari wake kwa ajili ya kukuweka wewe mtu mweusi madarakani seuze wazungu wenzake. Nyerere alirudishwa madarakani na waingereza ili kutumiwa tu, Na lengo kubwa ni kuikalia Zanzibar kwa mabavu na kunyonya almasi za mwadui

Nyerere alikuwa kibaraka mkubwa wa Waingereza
 
Mpendwa tayari mwaka 1964 Uingereza haukuwa na umuhimu tena. Waliondoka kwenye makoloni kwa sababu hawakuwa na uwezo wowote kuyashika. Mwaka 1964 waliingia kwa sababu 1 maana wakati ule bado walikuwa na kituo huko Aden. na walijua vizuri wanajeshi wasi maana hao walikuwa jeshi la kikoloni maana vikosi vilivyoasi viliwahi kuwa jeshi la Kiingereza "King's African Rifles" hadi 1961 .
Marekani waliwaambia waingie kwa sababu walihofia Warusi (ukisoma magazeti ya siku zile utaiona waziwazi, waliogopa hasa watu wa chama cha Umma).
Almasi? Almasi gani? Ni siku hizi tu kwamba madini ya Tanzania zinaanza kuwa na maana. Zamani ilikuwa bure, Waingereza wenye walifunga migodi ya dhahabu Lupatigatinga kabla ya uhuru, kwa sababu kwa tejkinolojia (na bei) ya siku zile ilikuwa hasara tu.
 

Sijui ulizaliwa mwaka gani , hivi huelewi kuwa Nyerere alipinduliwa Na wanajeshi? Na waliokuja kumweka madarakani ni waingereza? Hivi Huo ulikuwa Ni udugu Kati ya wazanaki Na wazungu waingereza? Au ni wajomba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…