son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Mwanajeshi mwingine wa Idf akutwa na tuhuma ya kudhalilisha sanamu ya mama Maria kwenye mji wa kikristo lebanon.
Mwanajeshi huyo akionekana kwenye picha akimdhihaki mama yake yesu kwa kuvutisha sigara sanamu lake.
Hii si mara ya kwanza kwa wanajeshi wa Idf kudhalilisha makanisa na kudhihaki ukristu aidha mwezi uliopita mwanajeshi wa idf alituhumiww kuvunja sanamu la yesu na kuvuta hisia ya watu wengi.