son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Mwanajeshi mwingine wa Idf akutwa na tuhuma ya kudhalilisha sanamu ya mama Maria kwenye mji wa kikristo lebanon.
Mwanajeshi huyo akionekana kwenye picha akimdhihaki mama yake yesu kwa kuvutisha sigara sanamu lake.
Hii si mara ya kwanza kwa wanajeshi wa Idf kudhalilisha makanisa na kudhihaki ukristu aidha mwezi uliopita mwanajeshi wa idf alituhumiww kuvunja sanamu la yesu na kuvuta hisia ya watu wengi.
Hitler alikua muislam wa dhehebu gani???Pamoja na hayo yote, wakristo hawana chuki na waisraeli/wayahudi. Wakristo si kama waislam, ingekuwa ni kwa waislam kudhihakiwa imani yao wangelipuka kama bomu dunia nzima wakilaani wanaowaita mayahudi/wazayuni. Wakristo wanajua vema mapito magumu wanayopitia wayahudu tangu walipomsulubisha Yesu na kusema damu yake na iwe juu yao na watoto wao, hakuna rangi wameacha kuona kutoka kwa maadui wao mpaka leo wanasigana nao. Ipo siku yaja watamheshimu Yesu na kukiri kuwa ndiye masihi
? Shenz typePamoja na hayo yote, wakristo hawana chuki na waisraeli/wayahudi. Wakristo si kama waislam, ingekuwa ni kwa waislam kudhihakiwa imani yao wangelipuka kama bomu dunia nzima wakilaani wanaowaita mayahudi/wazayuni. Wakristo wanajua vema mapito magumu wanayopitia wayahudu tangu walipomsulubisha Yesu na kusema damu yake na iwe juu yao na watoto wao, hakuna rangi wameacha kuona kutoka kwa maadui wao mpaka leo wanasigana nao. Ipo siku yaja watamheshimu Yesu na kukiri kuwa ndiye masihi
Wacha kujifarijiPamoja na hayo yote, wakristo hawana chuki na waisraeli/wayahudi. Wakristo si kama waislam, ingekuwa ni kwa waislam kudhihakiwa imani yao wangelipuka kama bomu dunia nzima wakilaani wanaowaita mayahudi/wazayuni. Wakristo wanajua vema mapito magumu wanayopitia wayahudu tangu walipomsulubisha Yesu na kusema damu yake na iwe juu yao na watoto wao, hakuna rangi wameacha kuona kutoka kwa maadui wao mpaka leo wanasigana nao. Ipo siku yaja watamheshimu Yesu na kukiri kuwa ndiye masihi
Kwani kufuga ndevu ubaya gani mkuuSisi wengine tunaowachukia mayahudi kutokana tu na maovu yao, haishangazi kuitwa wafuga ndevu.
Wayahudi wa humu jukwaani wanamaanisha wafuga ndevu ni Hamas/Wairan/magaidi/Waislam wenye misimamo mikali dhidi ya Wayahudi.Kwani kufuga ndevu ubaya gani mkuu
ππππPamoja na hayo yote, wakristo hawana chuki na waisraeli/wayahudi. Wakristo si kama waislam, ingekuwa ni kwa waislam kudhihakiwa imani yao wangelipuka kama bomu dunia nzima wakilaani wanaowaita mayahudi/wazayuni. Wakristo wanajua vema mapito magumu wanayopitia wayahudu tangu walipomsulubisha Yesu na kusema damu yake na iwe juu yao na watoto wao, hakuna rangi wameacha kuona kutoka kwa maadui wao mpaka leo wanasigana nao. Ipo siku yaja watamheshimu Yesu na kukiri kuwa ndiye masihi